Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Ndugu zangu, kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke

Home boy kabisa few days kama hali bado itaendelea kuwa tight naweza kukutumia Mteni hivi Leo niko hovyo. Alafu tutaona masuala mengine.
Sio mbaya sana Mungu anabariki ila nikipata ishu ya uhakika itakuwa gud zaid
 
Kama 80000 ni ndogo angeweka simu bondi alaf angekopa au angeazima ata 500,000kutoka kwa watu wa karibu alaf afanye biashara.
KWENYE MATATIZO UNATAKIWA UFIKIRI NJE YA BOX MAANA HAPO NDIPO.MAFANIKIO YANAPOKUJA
Hivi munaondikaga hivi hua watoto wa GSM au mnajitoa akili tu.

Nani unamuazima 500,000 mtaani alafu unaandika kabisa kiwaza nje ya Box.🚮🚮
 
Jamaa ushauri wake unamake sense however
Kaongea kinadharia zaidi, mikopo ya mitandaoni unakuta ni kampuni moja inatumia majina tofauti kwaiyo katika app 5 utazojaribu unaweza kupewa sehemu moja tu na wanaanza kwa kima cha chini ambacho ni elfu 5 mpak 20 hivi. Hauwezi kupata laki 3 uko.

Uko Karume ukiwahi afrajiri mtiti wake sio wa kitoto. Jamaa kaandika kinadharia zaidi nina uhakika hata yeye mwenyewe hajawahi kufanya alivhokiandika
 
Mm mkuu nimechukua temeria kupitia senteyo elfu 60 ila hiyo riba yake unawez kulia. Mana ukichukua elfu 13 tu unalipa elfu 20. Serikali iingilie kati
 
Mm mkuu nimechukua temeria kupitia senteyo elfu 60 ila hiyo riba yake unawez kulia. Mana ukichukua elfu 13 tu unalipa elfu 20. Serikali iingilie kati
Kwenye riba inaumiza sana iyo mikopo. Nilikua nachukua zamani kipindi kile cha tala, tangu tala walovyofunga biashara zao bongo sijawahi kujishughulisha nayo iyo mikopo
 
Hivi munaondikaga hivi hua watoto wa GSM au mnajitoa akili tu.

Nani unamuazima 500,000 mtaani alafu unaandika kabisa kiwaza nje ya Box.🚮🚮
Hawa ni watoto wa GSm Na Bharesa 🤣🤣 hawauelewi mtaa wala msoto! Unakuta circle yako ya ndugu na jamaa hamna wa kukupa hio laki 5 wala mia5
 
Assalam Allaykum,

Mpka sasa sijala na sjajua siku inaisha vipi, sina pesa wala mpango wa kupata hata buku kwa siku ya leo ukizingatia nimedamka asubuhi kutafuta vibarua viwandani na kwingineko lakini hola nimezurura hadi nimeona ntakuja anguka njiani bure nimekimbilia geto kujilaza nisikilizie tumbo linavyounguruma taratibu ndo nimekumbuka ningekuwa jela muda huu nna uhakika ningekuwa nimeshatia chochote mdomoni.

Daaah maisha haya. Nisimalize maneno ndugu zanguni kwa mwenye kibarua chochote unikumbuke. mawasiliano 0711406248

NB: Kuhusu bando natumia tunnel vpn
Ukiwa na aibu utaabika kweli Ila ukiitoa aibu kwa siku 20k ukosi Ila siwezi omba ela ya kula Kama mzima siumwi popote.toa aibu upate pesa ya kujikimu kila siku kwa Uhuru wako acha na vibarua
 
Ukiwa na aibu utaabika kweli Ila ukiitoa aibu kwa siku 20k ukosi Ila siwezi omba ela ya kula Kama mzima siumwi popote.toa aibu upate pesa ya kujikimu kila siku kwa Uhuru wako acha na vibarua
kivipi
 
Kuna wakati fulani nilijifunza ili mwanaume uishi maisha mazuri kuna mambo mawili baba yake aliteseka sana kujenga kesho yake na yako au wewe mwenyewe uteseke sana tena sana,nasema hivi kuna kipindi nilikula msoto mpaka nikajisemea kwanini nilikuja duniani na baada ya miaka kadhaa ule msoto uliisha kwa sasa si haba lundo la maokoto halikauki kwenye kibubu.
Naomba kazi mkuu
 
Nikweli mzeee utapata harakati mambo ni moto ila ongeza Sala juhudi nautafutaji
 
Back
Top Bottom