Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

Hamna mapenzi hapo uyo ni nyonya mpige chini fastaa

Alafu kademu kenyewe utakuta kabayaa kanajichubua na mibrichi yake kichwani ndo kanakupelekesha hivyo pigaaa chiniiii uyo

Kabaya

Kanajichubua

Mibrichi yake kichwani

Navuta taswira ya hii comment naishia kucheka .

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna mapenzi hapo uyo ni nyonya mpige chini fastaa

Alafu kademu kenyewe utakuta kabayaa kanajichubua na mibrichi yake kichwani ndo kanakupelekesha hivyo pigaaa chiniiii uyo
Demu ni mzuri. Ana shape , ana rangi, ana sura. HANA AKILI.
 
Sikumbuki mwisho nilichangia harusi lini, wwngine waoane mimi niangaike kuwapa hela yangu?
Kwenye harusi yangu kama itakuwepo mtakuja na zawadi na tumbo zenu..sina historia ya kuchangia ma sherehe so i dont expecting anything from friends.

Bado hukamuacha huyo mwanamke? Anakupa pole kavu ya msiba hataki hata kuja kukuona? Stupid.
 
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.

Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.

Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?

View attachment 2690541
be positive tu kwenye maisha utatoboa

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Naomba tu nikuambie ukweli wewe huna gundu kinacho kuponza ni ujuaji. Nimekuona sehemu kadhaa ukileta ujuaji na huko nikakuambia.

Hata kama unajua vipi , hata kama unaakili, hata kama unapesa vipi, hata kama unamali kiasi gani au unawadharau wanawake kiasi gani jinsi ya kuongea nao ili uteke akili zao na uvune utelezi wao.

Ila wewe ni mbulula huwezi
Aaargh sasa wewe dada sikufahamu unaniambia nikutumie pesa tuonane... Nakwambia siwezi unaona mi mjuaji. Kwa hili acha niwe mjuaji dada. Nimeshalizwa sana pesa sasa inatosha. Nyie matapeli mpo wengi sana
 
Yaani unampa mtu taarifa za msiba yeye anakupa taarifa za mchango wa send-off sijui,
Hivi hizo kabrasha na mafurushi huwa mnayaokotea wapi?

Si alipaswa ajiandae aje msibani kukufariji mfiwa?
Hilo sandarusi
 
Aaargh sasa wewe dada sikufahamu unaniambia nikutumie pesa tuonane... Nakwambia siwezi unaona mi mjuaji. Kwa hili acha niwe mjuaji dada. Nimeshalizwa sana pesa sasa inatosha. Nyie matapeli mpo wengi sana
Usitafute mwanamke mwenye mentality ya kuomba pesa......USIOE MWANAMKE WA HIVYO...
trust me wala usiharakishe utampata tu WA kumuona...
Mtu mwenye nahitaji ya lazima kama ugonjwa,au magumu anapitia utayaona tu na utamsaidia bila yeye kukuomba....
Sendofffff????
Wtf?
Hayo ni nahitaji ya ziada ambayo anatkia ayatimize mwenyewe...tatizo wadada wengi wanaishi out of their budget ndo wanajikuta matonya na kutafuta extra income hawataki wanatumia papuchi kama bait.....pumbafu....
 
Mkuu una umri gani?Hadi wanawake wanakupelekesha hivo,hujihurumii kwanini usitulie kwanza kama muislam funga omba Mungu akupe mtu sahihi sikuzote unapokuwa na haraka ya kufanya jambo flani ndio madhar Huwa hayo tulia jitathmini wanawake wema ni wengi tu
Mtu Asiyejulikana
Ushauri Mzuri sana mtoa mada aufanyie kazi Leo umeamua uwe serious madini kama haya mtoa mada angepataje sasa
 
Tafuta mzuri aliomaliza form four akafeli ongea na wazazi wake weka ndani, hautojuta.
Sio kupambana na ayo majoka ya mdimu, mwanamke akipata exposure sana nayo ni tatizo.
Awe na mvuto kidgo..usioe mwanamke ambae ukimuangalia humtamani wala huna hisia nae
 
Watu sijui tunakwama wap...siku ya kwanza tu ukiongea nae unakua unajua huyu ni mwanamke wa aina gani
Unamsoma vzuri tu
 
Huyu hata sijamaliza naye week kumbe naye ni kimeo tu. Sijajua nakosea wapi ninapokuwa natafuta mwenza.

Huyu dada tupo naye Jengo moja la ofisi nlimfahamu muda tu this time nikaona niombe urafiki naye nikitegemea angekuwa na akili maana alisoma IFM ana degree na yupo kazini Bank flan hivi. But naona mabalaaa tu yananiandama na hawa wanawake.

Mtu unamwambia una msiba bado anapata nguvu ya kuomba 200,000 ya kuchangia send off. Ana akili kweli huyu? Mi nakosea wapi ndugu zangu? Why me always?

View attachment 2690541
Aisee unavumilia hao ngedere kiasi hicho, ukiwa na pesa unaringa Tupa kule hicho kitumbili,
 
Kwanza una uhakika huyo ni msomi? Au labda kaishia certificate hapo IFM na hapo bank amewekwa kimchongo.
Hajakaa kama mwanamke anayejielewa. Futa namba haraka na umblok kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulia kwanza.
Kaa kabisa pembeni mwa uwanja
Soma mchezo.
... mapenzi ni sometimes kama Game
Akili yako ikitulia ingia kati
 
Unatafuta mpenzi kama unatafuta nguo sokoni kijana, hao wanakujaga tu.
 
Back
Top Bottom