Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
Habari zenu jamiiforums.

Screenshot_20221006-105120_1.jpg

Mama wa umri wa miaka 62 technically hawezi kuwa na mtoto wa miaka 13 wa kufanya mtihani wa darasa la saba.

FROM WIKIPEDIA
===
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving since 19 March 2021 as the sixth (and first female) president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Habari zenu jamiiforums.

View attachment 2378612

kumbuka huyo n mzanzibar ss unazjua tamadun za wazenj ktk swala la kutengenez family
 
Habari zenu jamiiforums.

View attachment 2378612

Mama wa umri wa miaka 62 technically hawezi kuwa na mtoto wa miaka 13 wa kufanya mtihani wa darasa la saba.

FROM WIKIPEDIA
===
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving since 19 March 2021 as the sixth (and first female) president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Ivi kweli umekaa ukaandika kabisa huu upuuzi sasa hapo shida iko wapi
 
Rais Samia alimwita sugu mwanangu au malima anamwita mwanangu ni bora awe anasema mdogo wangu maana kamzidi sugu miaka 10 tu
Hahahhaha wabongo mnachekesha sana aiseee yani hili nalo ni suala la kupoteza muda kujadili badala kujadili mambo muhimu kama ujenzi wa madarasa 8,000 nchi nzima na ujenzi wa hospital mpaka vijijini
 
Back
Top Bottom