Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake

Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake

Habari zenu jamiiforums.

View attachment 2378612

Mama wa umri wa miaka 62 technically hawezi kuwa na mtoto wa miaka 13 wa kufanya mtihani wa darasa la saba.

FROM WIKIPEDIA
===
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who has been serving since 19 March 2021 as the sixth (and first female) president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.


Kwa upande mmoja uko sahihi
Lakini pia mama yuko sahihi.

Yeye ni mlezi mkuu wa taifa na ni sawa na mama wa wote hata wazee wenye umri mkubwa wanamwita mama.
Rais yuko sahihi 100%
siwezi kupinga kila kitu
Yeye
 
Ana umri sawa na maza angu,na maza angu mjukuu wake wa kwanza ni miongoni mwa watahiniwa waliofanya huo mtihani wa kumaliza la saba jana na leo.sasa nashangaa pia anavyowaita hao watoto wanae badala ya wajukuu zake.
Samia anaukataa uzee wakati keshazeeka
 
Back
Top Bottom