Ndugu zangu, mkumbusheni mama kuwa wale ni wajukuu na sio watoto wake



Kwa upande mmoja uko sahihi
Lakini pia mama yuko sahihi.

Yeye ni mlezi mkuu wa taifa na ni sawa na mama wa wote hata wazee wenye umri mkubwa wanamwita mama.
Rais yuko sahihi 100%
siwezi kupinga kila kitu
Yeye
 
Kuna Siku mtaleta hojo, hayati Baba wa Taifa asiitwe hivyo na wote, wengine kama akina mzee Wasira wamwite kaka.
N wengine Babu.
 
Ana umri sawa na maza angu,na maza angu mjukuu wake wa kwanza ni miongoni mwa watahiniwa waliofanya huo mtihani wa kumaliza la saba jana na leo.sasa nashangaa pia anavyowaita hao watoto wanae badala ya wajukuu zake.
Samia anaukataa uzee wakati keshazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…