Ndugu zangu naombeni ushauri

Nashauri rafiki zako wa karibu wawe karibu sana na wew pamoja na nyendo zako, hatutaki habari za "mwanafunzi ajinyonga chuoni".
 
Walimu wanateswaga sana na mapenzi sijui kwaniniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nenda kasome uzi wa kula kimasihara utajifunza attraction kati ya mwanaume na mwanamke.
Hata kama mlokole kiasi gani utateseka kama huelewi jinsi ya kumvutia mwanamke.

Badili mbinu, mbinu ulizotumia usitumie tena.
 
Mjenge maisha kwa pesa ambayo serikali inawapa kujikimu na maisha magumu.Hapo chuoni kwenu CUCOM Catholic University of Mbeya zamani SAUT-Mbeya ndicho mnachofundishwa? Na hiyo binti wa hapo Kys college of Health au St Aggrey ndie anaekuchanganya?
 
Wewe si ndo ulisema "una siku 12 tangu uache punyeto lakini mapaja yanakuwasha [emoji16] " ukaomba tukushauri.

ukasema tena "siku ya harusi ya huyo msichana maana siyo mwanamke utafanya juu chini kuharibu siku ya harusi
yake [emoji16] " ukaomba tukushauri.

Leo tena umekuja na porojo zingine aisee we jamaaa [emoji16][emoji16]
 
Usipo kua makini mapenzi yatakufanya uchanganyikiwe mpaka usieleweke kabisa.. inshort ukiona unaforce au unatumia nguvu kubwa mwanamke akupende jua utakufa masikini na mwisho wako utajutia sana
 

Ushauri ni usome kwanza man. Ukifanikiwa kukaa pazuri watakuja wenyewe , at your age mapenzi yasikuendeshe. Ameshasema hataki hataki move on, amishia huo uchungu kwenye mafanikio badala ya kumlilia mtoto wa mtu asie na mpango na ww
 
Weee mpuuzi embu achana na mapenzi focus kwenye masomo yako ya ualimu.. Wote bado wadogo sana utoto mwingi na mna uporipori mwingi.
 
Dogo acha ufara kozi yenyewe unayoisomea ajira hakuna hivi inamaana huwaoni akina pwayungu wanavyoteseka na maisha
 
Dasa

Dada ni hatar dada yangu nimesha omba Sana kwa Mungu lakn qap
Wanawake wanahisia kama sisi tulivyo. Ukiona unatumia nguvu kwenye mahusiano ujue hayo mahusiano siyo yako unalazimisha.
Acha kumlazimisha binti wa watu. Achana naye na fuata mambo yako.
 
Mwaisa Mdogo wangu Pisi zita kuuwa..Tafuta kwanza kibunda mdogo wangu[emoji23]
 
DAH JUZI TU HAPA KUNA BAHARIA USHIRIKA KAJITIA KITANZI LEO TENA KUNA MWINGINE TUSIPOKUWA MAKINI TUNAMPOTEZA

ONE MAN DOWN OVER!!!
 
DAH JUZI TU HAPA KUNA BAHARIA USHIRIKA KAJITIA KITANZI LEO TENA KUNA MWINGINE TUSIPOKUWA MAKINI TUNAMPOTEZA

ONE MAN DOWN OVER!!!
 
DAH JUZI TU HAPA KUNA BAHARIA USHIRIKA KAJITIA KITANZI LEO TENA KUNA MWINGINE TUSIPOKUWA MAKINI TUNAMPOTEZA

ONE MAN DOWN OVER!!!
 
Sasa ndugu yetu mtu kashakwambia hajawahi na hukupendi hata sasa hivi unataka nini tena? Kitu unachoweza kufanya ni kumpenda kwa kuwa mkweli kwako na kumuombea apate anapopataka na wewe utafute wa kuendana naye.
Usijaribu kamwe kulazimisha kupendwa, kwani wewe unampenda kila mtu? Leo hii akija Dada au mwanamke fulani akasema anakupenda utampenda kwakuwa yeye kasema anakupenda? Na ukitaka kupata mchumba acha kutafuta ila mazingira yatakupatia mke bora kabisa, ipo siku utakutana na mtu utaenda madhabahuni kumshukuru Mungu jinsi alivyokuepusha na huyo unayemlalamikia na kukupa wa maana zaidi.
Yaani kijana upo Mbeya unalalamikia mwanamke utadhani ushafika Tanga, Dar, Arusha, Iringa au hata hapo jirani yenu Njombe achilia nje ya nchi kuona wanawake wazuri na wachamungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…