Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kasome uzi wa kula kimasihara utajifunza attraction kati ya mwanaume na mwanamke.Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.
Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.
Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana.
Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane, Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.
📌📌 Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms📌📌
"Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad"
"Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu."
"Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."
"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "
"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"
"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"
Wakuu hizo apo ni baadhi ya sms zake, kiukwel roho Ina niuma Saba sijui ni fanye nini, sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Na. Kuna baadhi ya mambo sipend kuyasema alishafanya kipind tupo kwenye mahusiano mm nikavumila sita ya SEMA.
Kaka, dada, baba na mama zangu naombeni ushauri wenu.
Apo
Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.

[emoji419][emoji419] Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms[emoji419][emoji419]
"Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad"
"Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu."
"Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."
"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "
"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"
"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"
Wakuu hizo apo ni baadhi ya sms zake, kiukwel roho Ina niuma Saba sijui ni fanye nini, sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Na. Kuna baadhi ya mambo sipend kuyasema alishafanya kipind tupo kwenye mahusiano mm nikavumila sita ya SEMA.
Kaka, dada, baba na mama zangu naombeni ushauri wenu.
Apo
Weee mpuuzi embu achana na mapenzi focus kwenye masomo yako ya ualimu.. Wote bado wadogo sana utoto mwingi na mna uporipori mwingi.Mimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.

Huyu mwalimu atatubakia wanafunzi wetu huyu kwa mgongo wa ku fall in true love..Mwalimu
Mbona umeanza mapema sana heka heka
Dogo acha ufara kozi yenyewe unayoisomea ajira hakuna hivi inamaana huwaoni akina pwayungu wanavyoteseka na maishaMimi ni Kijana miaka 22, nipo mwaka wa pili moja ya chuo kikuu apa inchini nasoma shahada ya kwanza ya ualimu.
Nilipo fika chuo mwaka wa kwanza mwaka Jana Kuna binti nilimpenda sana, Yy alikuwa mwaka wa tatu diploma ya nursing and midwifery, na nilikuwa na salinae CASFETA apa chuoni, baada ya apo Nika mweleza kwamba mm na mpenda na simtak kwa ajiri ya sex, hapan kwa ajiri ya maisha kiufup tujeng mahusiano hadi apo MUNGU atakapo tuunganisha rasmi kama mke na mume.
Kiukwel Ilikuwa ngumu sana kw yy kukubali mana nilitumia muda mrefu kumwambia lakn Ikawa ngumu sana, nilitumia almost miezi sita, mwezi wa tano mwaka Jana akakubali, tukawa kwenye mahusiano ambayo kiukwel nilitumia Nguvu nyingi sana kuyalinda mana sms nilikuwa natuma mm kiufup huyu binti Hakuwa kama na mpango na mm vile....... Lkan Kila alipokuwa na shida mm nili msaidia, alikuwa akiomba pesa mm na mpa, Wala sikujali jnsi ambavyo Yy ana Ni care.
Mwez wa Saba nikaenda Field kwetu huko magharibi mwa Tanzania, lkan Cha ajabu akanza visa mana yy alibak Mbeya chuo akimaliza masomo yake ya uuguzi, visa vikawa vingi mara anasema tuachane, kiufup akataka tuachane lkan mm nili mbembeleza Sana akatulia.
Nilipo rudi mbeya mwezi wa kumi mwaka Jana kuendelea na mwaka wa pili ndip huyu binti alipo SEMA hataki tuendlee kwenye mahusiano, na hawajih kunipenda na ana ni chukulia kama kaka na anaomba tuwe marafiki wa kawaida, kiukwel nilliumia sana.
Mana Toka nizaliwe sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Nikasema sawa Haina budi japo Moyo uliumia sana na sikujua sabaini ipi ya yeye kusema tuachane, Cha ajabu Toka apo akawa akiwa na shida mm na msaidia kama kawaida Niki Amin kwa kufanya hayo atanipenda.
📌📌 Siku ya Jana nilingea nae kwa simu mana kwao ni apa apa mbeyA, Nika mbembeleza turudiand mana na mpenda majibu alio nipa ni Aya apa chini nimeya bold alituma kwa sms📌📌
"Sina Cha Kuaidi Sababu Sina Hakika Kutmiza Ahad"
"Na Usiweke 2maini Lolote Kwangu."
"Sikupendi Na Sijawah Kukupenda Mungu Shaidi."
"Vng Vya Kufanya Shda Kuna Kizuiz Ndugu Yangu Ni Wewe Ulinishaur Kuusu Kuomb Nimeomba Sasa ,,,mungu Kaonesha Bado Yeye Tu Kutenda Ndio Maana Nimexema 2one Mwisho Itakuaje Maana Mwenyewe Niko Njia Panda Siamin Nilichokiona Na Syo Mala Moja ,,nmeota Ninapete Kwenye Kdore Ujue Na M2 Alie Nivesha Ni Mwngne Kabisa Sijawah Muwaza Wala Kumfikilia Afu Wew Ndio Unaxema Ni Wewe Unanichanganya Ett "
"Me Nakuambia Huu Ni Ukwel Mungu Shaidi Nilipo Hap Njia Panda Hata Sielew ,,"
"Ngja 2one Hatma Yake Itakua Wap Kwenye Ili Jambo Mm Nisikulupuke Maana Wewe Hujakulupuka Umelifkilia Kwa Makn Na Kumuomb Mungu Kama Unavyoxema Na Me Niache Nimuombe Mungu 2one Ad Mwisho"
Wakuu hizo apo ni baadhi ya sms zake, kiukwel roho Ina niuma Saba sijui ni fanye nini, sijawahi mpenda mwanamke Isipokuwa yeye tu. Na. Kuna baadhi ya mambo sipend kuyasema alishafanya kipind tupo kwenye mahusiano mm nikavumila sita ya SEMA.
Kaka, dada, baba na mama zangu naombeni ushauri wenu.
Apo
Wanawake wanahisia kama sisi tulivyo. Ukiona unatumia nguvu kwenye mahusiano ujue hayo mahusiano siyo yako unalazimisha.Dasa
Dada ni hatar dada yangu nimesha omba Sana kwa Mungu lakn qap
akikua ataacha, naona foolish age bado inamsumbua sanaJamaa wewe Kila siku ni kuomba ushauri