Ndugu zangu nimeanza kujifunza kuhesabu kwa lugha ya kiarabu, tujifunze pamoja tuache kung'ang'ania kiingereza

Waarabu wengi wahuni (wazee wa dili) ngumu wao kujua lugha nyingine

Ukijua kiarabu unakula nao vizuri.

Usiishie kiarabu tu nenda na kichina nihao!

Alisema Fid Q anae zijua lugha tofauti kote atapaona nyumbani.
 
Mie napendaga tu kiispanyola namba 1 ni UNO, mama watoto namwambiaga nataka uno, anabaki njia panda anipe viuno vya kimakonde au anipe kimoja😋, mie vyovyote vile mradi tu nioate UNO
😂🤣
 
Kuna makosa mengi sana na hasa kwa vile umeandika kwa kutumia lugha ya kizungu.
 
Kiarabu na kiaramu ni lugha zenye kushabihiana, lugha mama ya Yesu ni kiaramu
1 - Waahed
2- Ithnain
3- Thalaatha
4- Arba'a
5- Khamsa
6- Sitta
7- Saba'a
8- Thamaaniya
9- Tis'a
10- 'Ashara
11- Ihdaa a'shara
12- Ithnaa a'shara - (Thenashara)
Hata kwenye Biblia wanafunzi wa yesu walikuwa 12 na wakaashiriwa kwa thenashara.
Luka 9:1 - Akawaita wale Thenashara, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi.
 
Kwa upumbavu wenu ndiyo maana mnaona kiarabu hakina maana,mwerevu haishi kujifunza chochote,iko siku kile ulichojifunza kitahitaji kutumika au kukusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…