Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu anajua kasoro nyie tu.Hayo umeyatoa wapi Mkuu?
Kuna makosa mengi sana na hasa kwa vile umeandika kwa kutumia lugha ya kizungu.Wadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu
Asubuhi ya leo nimeona tujifunze pamoja kuhesabu kuanzia moja hadi kumi
1. Wahedaa
2. Sania
3.Salatha
4.Alba
5.Hamsa
6. Sitaa
7. Sabaa
8.Samania
9.Tisaa
10.Ashara
Wanazuoni kama kuna makosa naomba mnirekebishe
Asubuhi njema wapendwa
Naomba ushauri wa njia bora zaidi ya kupata elimu hii muhimu
Kiarabu na kiaramu ni lugha zenye kushabihiana, lugha mama ya Yesu ni kiaramuWadau hamjamboni nyote?
Nimeanza jifunza kuhesabu kwa kiarabu
Nimeona niwe tofauti na Wakristo wenzangu wanaoamini kuwa kiingereza ndiyo lugha sahihi zaidi kwao kuliko lugha nyingine
Kiarabu ni mojawapo ya lugha bora Duniani tena iliyotumika kushushia kitabu kitakatifu
Asubuhi ya leo nimeona tujifunze pamoja kuhesabu kuanzia moja hadi kumi
1. Wahedaa
2. Sania
3.Salatha
4.Alba
5.Hamsa
6. Sitaa
7. Sabaa
8.Samania
9.Tisaa
10.Ashara
Wanazuoni kama kuna makosa naomba mnirekebishe
Asubuhi njema wapendwa
Naomba ushauri wa njia bora zaidi ya kupata elimu hii muhimu
Ni wahuni wachache tu walichakachua vitabu vilivyokuwepo wakachanganya na tamaduni za kiarabu wakafyetua wakaweka cover, hapo kitabu tayari.Imeshushwa kupitia Aya mbalimbali