Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,435
- 3,120
Kifua ni gonjwa chronic hilo, kama huna Bima na ukamuoa utauza vitu vyote ndaniKwamba unamuacha Binti unayesema amekufa ameoza tena umethibitisha wewe mwenyewe kuwa ni bikra kwa sababu tu anaumwa macho na kifua?
Sawa...
Thank you for your responseUsiogope comments wewe mpige chini huyo mwanamke, hata mkulima hawezi kupanda mbegu zake kwenye shamba lisilo na udongo wenye rutuba..!!
Hizo changamoto angekuwa nazo kipindi mshaoana sawa. Ukikaza fuvu utashinda unaweka appointment na madaktari bingwa kila siku..!
Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto piaYeye pia hakupenda kuwa hivyo kama una mpenda hizo changamoto ni ndogo sana kwa maana hata wewe huwezi kujua kwsho utakuwaje
Kweli kabisa mkuu na ukizingatia hali hiyo inaweza kuja kuwa hadi kwa watoto. Kwakuwa hajalala nae afanye maamuzi.Kwani mtoa maada amekosea wapi kuombe ushauri? ..kwenye swala zima la mwenza issue ya afya pia ni muhimu sana kuifanyia analysis ya kutosha. Kama mtu ana magonjwa sugu ya kurithi why would you take risk? Mpira upo kwako kijana.
Watu hawalizingatii hili wanaendekeza hisia.Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto pia
Kuna wanawake sio wa kuzaa nao maana unaweza kutesa mpaka watoto mtakaozaa
Afikirie pia amemuoa akili mzima, halafu anaugua maradhi hayo, atamuacha?Jiweke kwenye nafasi yake
Halafu uachwe kwa sababu una changamoto kama hizo
Ungejisikiaje?
Hiyo ni ajali kazini haiepukiki mkuu ila kuoa mtu tayari unaona ana genetic diseases kama athma "pumu" af uanze kuangaika na watoto nyakati Za baridi hayo ni matatizo ya kujitakia.Afikirie pia amemuoa akili mzima, halafu anaugua maradhi hayo, atamuacha?
Umesema unajimudu kiuchumi na unampenda? Ni bikra? Hana maambukizi? Wanawake wengi wa kisasa wana changamoto mbalimbali za kiafya. Macho na arage ni changamoto za kawaida. Oa weka mazingira safiI hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.
Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.
Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.
Ushauri wakuu.
I hope everyone is doing well.

yupo? Au wavuta bangi wenzie pale kijiwe chao cha tip top?Ulitaka mambo ya wanaume akaulize Mama yake?
Wale wanawake anaowaona kama chotara wa kiarabu ,kama hajui kwa asilimia kubwa wana sickle cell tena inatembea vizazi na vizazi ila bado watu wanaoa .Muache tu maana wewe ni Mbinafsi, unaweza muoa aliyekamilika kesho akagongqa akakatwa Miguu miwili
Ampambanie ili aje kumkimbia? Hivi unawajua hawa makima wa kike?Watu wanaoa walemavu kabisa . Unaongelea macho muoe umpambanie ..
Hayo ni matokeo , mkeo ni mkeo ..Mimi nitaoa hivi karibuni ,binti ana changamoto zake zaidi ya huyo ,tena sio bikra ,ila kama haitakuwa riziki basi tunaachana...Kikubwa kaniweka wazi tu.AmpnAmpambanie ili aje kumkimbia? Hivi unawajua hawa makima wa kike?
Uliprove vipi kuwa ni bikra?I hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.
Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.
Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.
Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.
Ushauri wakuu.
Kwahiyo una shauri amuache?Mnapenda kuchukulia mambo serious kimzaha mzaha , huyo mwanamke tayari ana matatizo ya kijenetiki ambayo likely yatajidhihirisha kwa watoto pia
Kuna wanawake sio wa kuzaa nao maana unaweza kutesa mpaka watoto mtakaozaa