Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

Kama una mpenda na unajiweza.

Fuatilia matibabu yake uone atakavyopona.
 
Ila wanaume mna Roho mbaya wabaguzi kinoma
 
Uko darasa la ngapi?.
Kwa akili za kitoto aina hii ni heri usioe huyo binti.
 
Majibu unayo, mpeleke akatibiwe, fanya risk assessment kama utawezana, pia tumia common sense. Otherwise uamuzi unao.
 
Aseee! Assume huyo unayotaka atupwe kule ni binti yako wa kumzaa
kwahiyo kama ni binti yake? so what?

hata mie, mwanamke kama ana magonjwa ya kuzaliwa nayo/kurithi namtema fasta.
 
Ni bikra halafu sio malaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kipindi cha bariadi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii dunia haina huruma na maisha hayaitaji huruma..

Unachohitaji ni kupima kila kitu kihuhalisia na bila upendeleo..

Ni kama mtu anataka kuwekeza kwenye mradi mkubwa ambao atatumia pesa zake zote na muda wake wote lazima ujue lengo lako ni lipi? Faida gani utapata? Hasara zipi utapata? Na utazikabili zipi? Bila shaka hautaweza kuthibiti kila kitu 100% ila hapo utakuwa umepevuka kiakili.
Pia kumbuka uzuri wa mtu sio muonekana tu inatia ndani heshima, maadili, anavyokutendea hata akiwa na hasira, n.k
 
Ushauri wangu achananae yanini mzigo wa kujitakia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…