Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

15,000/= day worker?
Sema labda 10,000/= au 7,000/=

Mimi ndio nalipa watu hivyo kwa kazi wafanyazo site na kama umesoma vizuri nimeandika "UKIJITUMA"
Unaweza fanya kazi na ukaondoka na 3000 tu kwa siku kama utakuwa na uvivu.
 
Pole ndugu, endelea kutafuta kila namna ya kufikia kile unachoona sasa litafaa kwa ajili ya kuanza safari ya maisha, kama vie ilivyofanya kwa kupandisha uzi huu endelea kuchukua mawazo na kuyafanyia kazi yale yanayowezekana, na Mungu akujalie na naamini wakati fulani utamshukuru Mungu kwa hatua itakayokuwa nayo.
 
𝐡𝐮𝐤𝐮 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐥𝐢𝐩𝐰𝐚 10000 𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐥𝐢𝐩𝐰𝐚 5000 𝐩𝐞𝐫 𝐝𝐚𝐲.
 
Njoo Singida nikupe udereva wa bajaj, sasa sijui kama unaweza endesha na una leseni. Kama unaweza ingia inbox. Arusha sio mbali na hapa
 
Mimi ndio nalipa watu hivyo kwa kazi wafanyazo site na kama umesoma vizuri nimeandika "UKIJITUMA"
Unaweza fanya kazi na ukaondoka na 3000 tu kwa siku kama utakuwa na uvivu.
Mkuu naomba nije kufanya kazi hio. Nipo mwanza
 
kama upo teyari kufanya kazi ya ulinzi
waweza kupeleka maombi yako kwenye ofisi ya ulinzi ya gardaworl ambayo kwa Dar-es-salaam inapatikana mkabala na kituo cha mwinyi ambacho kipo huko mikocheni b...kufika hapo unapanda gari zinazotokea kawe kwenda kariakoo...au zinazotokea temeke kwenda kawe...ama gari zozot zinazoenda kawe zinazopitia moroco

tumia cheti chako cha kidato cha nne tu.....{hakikisha unabeba leaving pamoja na academy}
uwe na kitambulisho cha nida ama namba ya nida
uwe na cheti cha kuzaliwa.
uwe na wadhamini wawili ambao watahitajika....
hakikisha wwe ni mrefu kigezo cha urefu ni cha kuzingaatia sana...
 
muwekee na kiwango cha mshahara
 
Back
Top Bottom