Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

Ndugu zangu nisaidieni kazi, hali ni mbaya mno

kama upo teyari kufanya kazi ya ulinzi
waweza kupeleka maombi yako kwenye ofisi ya ulinzi ya gardaworl ambayo kwa Dar-es-salaam inapatikana mkabala na kituo cha mwinyi ambacho kipo huko mikocheni b...kufika hapo unapanda gari zinazotokea kawe kwenda kariakoo...au zinazotokea temeke kwenda kawe...ama gari zozot zinazoenda kawe zinazopitia moroco

tumia cheti chako cha kidato cha nne tu.....{hakikisha unabeba leaving pamoja na academy}
uwe na kitambulisho cha nida ama namba ya nida
uwe na cheti cha kuzaliwa.
uwe na wadhamini wawili ambao watahitajika....
hakikisha wwe ni mrefu kigezo cha urefu ni cha kuzingaatia sana...
Mkuu nakuja pm
 
Back
Top Bottom