Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

😃😃😃😃 .. nafurahi sana.. mtoto lazima apendeza awe ng'ari ng'ari na mi gold.. mwamba umeisha nasaaa 🤣😂
 
Nipe maujanja bas mwanangu maana hili jiji la fursa siliamini sana
Mie vitu ambavyo huwa vinakuwa na upigaji, huwa naepuka kwa kwenda kwenye maduka makubwa yanayo eleweka na kutambulikana.. umenasa mwamba 😀😀 umepagawa kabisa 😀😀 unatuacha na chama letu 😃😃
 
Ni kiwete au anatembelea mabega!? Mtaachana tu!!!!
Hahahah utakuwa una vinasaba na uchawi

Acha baharia astaafu rasmj

Acha aanza kula mema ya nchi

"Ukipata mke mwema OA ,Ila ukipata mke pasua kichwa utakuwa mwanafalsafa "-A.Einstein

Kila siku misemo mipya
 
Hatembei kwa mguu tatizo
Safi mkuu tutakuja kula misosi ya mara moja kwa mwaka. bora umeuliza maana kuna watu matapeli, kuna rafiki yangu Mcameroon alinunua pete za ndo kwa Wasomali eti dhahabu baada ya muda akawa ana shida kinoma akaenda kuirudisha wampe pesa, si wakaikataa kuwa eti ile imechanganywa sijui na kitu gani wakati walimuuzia wao. Aliwawashia moto, kumbe wanawapiga watu. Yani aliwawashia moto mpaka wakaipokea na pesa wakatoa.
 
Maji ya betri Kama feki inaungua Kama yenyewe inabaki Kama ilivyo.

Hongera 😍😍😍
 
Back
Top Bottom