Ndugu zangu nisaidieni ujanja ili nitambue dhahabu halisi na feki

Aisee ndugu ninaweza nikanunua wapi gold coin
 
Mk

Kama unataka kukua Dhahabu halisi nenda Sonara kanunue ilanukitaka kujua na kupima hilo ni zoezi lingine na utazungunga sana. Kwa Dar Jewerly za uhakika zipo mtaa wa Indhira Ghandi
 
Kama uko Dar nenda Indira Gandhi street maduka yako mengi, kama uko Ar nenda metropole street. Huwa naamini maduka ya wahindi zaidi dhahabu zao ni halisi, kuanzia 21k ni poa
Nilipata mkuu sema nimechukulia City Mall pale. Kuna duka linaitwa Gold Palace.
 
Wala wake za watu tupo tuletee huyo uraiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…