Ndugu zangu tusichoke kuichangia TV Imaan, kituo kizima kina watangazaji wanne

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
 
Kwa nn msiwaombe wale wanaotowaga kafala za nyama kwa waumini wenu kila sikukuu?
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Sasa kama wanatangaza utumbo tu watu sijui kujitoa mhanga, tuwachangie wa nini?
 
Udini unakusumbua mleta mada, hawajakuomba utizame vipindi vyao wala hawajakuomba kuchangia. Wewe kwa akili na msukumo wako umeona uje ujaribu kuwadhalilisha.
Ni kweli ni maskini, na kituo chao kina uwezo mdogo kidogo, vipi sasa umeridhika?
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Kwakuwa upo serious, weka namba ya kuchangia hapa, iwe ya Vodacom, Tigopesa, Halotel, AZAM PESA (Hasahasa), au Account No.

Najua wapo watakaoguswa, juzi kanisa moja kupitia Askofu mstaafu walichangia Msikiti sh. Mil. 5.5 katika harambee ya kukamilisha mradi wa maji
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.
Hapo zamani waislamu walidharauliwa eti hawawezi kufanya jambo.Katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wameweza kufanya na kuwawacha wakristo nyuma katika maeneo.Hapo sasa ndipo balaa lilipoanza.
Nguvu ya ukandamizaji iliongezeka sana kipindi kifupi cha Magufuli.Unaletewa madai ya kodi ya pesa ambazo hujawahi kuzikamata na ukilipa unaletewa zingine.
Sera hiyo wakati wa mama haijabadilika.
 
Naam ndugu zangu katika Imaan.

TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.

Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Waislamu tunaonewa sana
 
Back
Top Bottom