MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kwa nn msiwaombe wale wanaotowaga kafala za nyama kwa waumini wenu kila sikukuu?Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Muabudu mfuu weweKwa nn msiwaombe wale wanaotowaga kafala za nyama kwa waumini wenu kila sikukuu?
Sasa kama wanatangaza utumbo tu watu sijui kujitoa mhanga, tuwachangie wa nini?Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Karibuni sanaMuislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia
Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
Wavaaa kobazi ngoja waje wakuombe account ya bank ya tv Iman waweze kufanya jambo..
Japo wanalaumianaga kuwa hawatoi sadaka Zaid ya jero
Kama amesomea habari au journalism basi wapewe nafasi ya kujitoea ili wasaidie.Muislam akienda hapo akaomba kujitolea kutangaza bure. Aruhusiwe pia
Kuna vijana wa kiislam kibao wamesomea journalism hawana ajira na wapo tayari kujitolea
Kwakuwa upo serious, weka namba ya kuchangia hapa, iwe ya Vodacom, Tigopesa, Halotel, AZAM PESA (Hasahasa), au Account No.Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Huu ukata hauko kwao peke yao kwa kweli.Vituo vingi vya kiislamu na wafanyabiashara wa kiislamu wamebanwa sana kupitia taasisi ya TRA.Naam ndugu zangu katika Imaan.
TV yetu pendwà inapitia wakati mgumu katika harakati zake za kusambaza Imaan.
Kituo chote kina watangazaji wachache sana. Yaani imekuwa kawaida kumuona mtangazaji mmoja siku nzima, yaani asubuhi mpaka jioni mtu mmoja anashusha nondo.
Ukiangalia TV Imaan siku mbili basi utawafahamu watangazaji wote.
Changia Imaan Media katika akaunti zao ili kupeleka Imaan mbele.
Pesa ina siri nyingi, hasa kwa namna inavyopatikanaHatari sana, na kuna watu wengi wenye pesa wanaojisifu kuwa ni waislamu .
WAISLAMU ACHENI KUIPOTEZEA IMANI YENU.
Waislamu tunaonewa sanaNaam ndugu zangu katika Imaan.