Kifo kikija kinakuja tu. Haina maana kujihadhari na kifo sababu kinakuja kwa style yoyote.Kufa ni Lazima, lakini jitahidi, jihadhari usife kwa UKIMWI basi mpendwa eeehhee....
sio ameukwaa hali ni tete acheni zinaa uasherati hamtaiona mbingu, mbinguni hakutaingia waasherati na wazinzi watatupwa kwenye ziwa la moto tubuni basi mrejee ndugu Yesu anarudi kuchukua watakatifuWewe umeukwaa Ukimwi mbona unaandika kwa uchungu? Umeingia kwenye Gridi ya dunia?
Apostle umekemea kinabii zaidi 🤓sio ameukwaa hali ni tete acheni zinaa uasherati hamtaiona mbingu, mbinguni hakutaingia waasherati na wazinzi watatupwa kwenye ziwa la moto tubuni basi mrejee ndugu Yesu anarudi kuchukua watakatifu
Acheni zinaa Yesu anarudi tubuni mrejee basi acheni dhambi Yesu anarudiApostle umekemea kinabii zaidi 🤓
pole mkuuNdugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Chifu hizi stori zako zimezingatia tupo katikati ya wikend?Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
Gentleman ni kubayaaaa,Chifu hizi stori zako zimezingatia tupo katikati ya wikend?
Haaa! usitufanyie ivo bana
Kwann usiandike stori za akina makonda tukuongezee likes hapa?
Ushayakanyaga tomaso huamini mpaka uone haya emdelea kumeza dawa za kukuzia kukuNdugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.
sawa,Ushayakanyaga tomaso huamini mpaka uone haya emdelea kumeza dawa za kukuzia kuku
Sidhani kama kuna ukoo au familia iliyonusurika na hili Janga la UKIMWI...UGONJWA UMEUA NDUGU ZSNGU WENGI.
KAMA UMEUA BABA LAZIMA UTAUA NA BABA MKUBWA AU MAMA MDOGO
Ulishawahi kumuliza daktari yeyote au mtu wa maabara kama alishawahi kumuona kirusi wa HIV hata kwenye microscope.Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".