Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

Wadau hamjamboni nyote?

Usumbufu niliopata Leo nikienda morogoro nimejuta kupanda bus

Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda morogoro au dodoma

Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza

Mchana mwema
Shida sio usumbufuuu, huo usafiri utakuwepoo siku zote au ndio swaga za mwendokasiii. Waswahili wanasema :"" ukipata sufuria jipya usitupe la zamani jipya laweza kukataa kushika moto siku mojaaa Sheee
 
Back
Top Bottom