Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

Attachments

  • Screenshot_2024-07-23-13-29-38-71_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-07-23-13-29-38-71_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    288.8 KB · Views: 2
+ 2hrs ufike pale/3:30
Sio lazima. Ukiwa na tiketi mkononi 20minutes poa tu. Naona wameweka hivyo kuepusha kuacha watu wengi. Wabongo ukiwaambia treni inaondoka saa moja wote watafika saa moja kasoro ndio waanze kukata tiketi.
 
Inagoma kwenye kusearch ukishaweka departure na destination, wala sio bundle ..sema ndo mifumo yetu hii..nitajaribu kuingia kwa pc!
Yeah works better on PC
 
Wadau hamjamboni nyote?

Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus

Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma

Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza.

Mchana mwema
Hii nchi iliwahi kupata uhuru
 
Usumbufu wa Basi unaanzia kibaha Maili moja. Unaanza foleni isiyo na uhakika Hadi Chalinze, makonda hawana nidhamu, hawakai kwenye viti Ni kumsemesha dereva utadhani ndio Mara Yao ya kwanza kupanda Basi. Hakuna ABIRIA wa kike wenye chura za maana wakupe distraction kwenye foleni.
 
[emoji16]
 
Back
Top Bottom