Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
MudaUsumbufu gani umepata?
Ndio mara ya kwanza kwenda Morogoro kwa bus/gari?Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda morogoro au dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza
Mchana mwema
Muda gani fufunua vizuriMuda
Itakua mara nyingi huwa anatumia Ndege binafsi au Gari binafsiNdio mara ya kwanza kwenda Morogoro kwa bus/gari?
Hata gari binafsi huwezi kuepuka kupoteza muda.Itakua mara nyingi hua anatumia Ndege binafsi au Gari binafsi
Hadi Morogoro nauli tsh ngapi?Wadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda morogoro au dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza
Mchana mwema
1:30Kwani treni inatumia masaa mangapi?
Basi itakua Ndege binafsiHata gari binafsi huwezi kuepuka kupoteza muda.
Huko hamna mizigo ya maana. Subirini hii central line ikamilike ndio watajenga ya huko.Hivi hiyo kitu hawawezi ifunga Tanga Moshi Arusha 😁
Na bado unasoma na kuchangia takataka?Takataka TU
KAZI ni kipimo cha UTU
Shida sio usumbufuuu, huo usafiri utakuwepoo siku zote au ndio swaga za mwendokasiii. Waswahili wanasema :"" ukipata sufuria jipya usitupe la zamani jipya laweza kukataa kushika moto siku mojaaa SheeeWadau hamjamboni nyote?
Usumbufu niliopata Leo nikienda morogoro nimejuta kupanda bus
Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda morogoro au dodoma
Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza
Mchana mwema
13,000Hadi morogoro nauli tsh ngapi?
mkuu naona Kiswahili chako kimekuwa sana kushinda mtu yoyote humu jukwaani...!😂Muda gani fufunua vizuri