Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Hii maada ni funzo kwetu sisi vijana...solution hapa naona ni kutulia tu.maana kondom utatumia siku ya kwanza na ya pili.siku zijazo pekupeku....
 
Hahah mungu alivyo wa ajabu anaweza akawa clean huyo ila tu hajiamini maana kapita chocho nyingi! Wale wanaojilinda linda sana ndio wanaumizwaga kizembe sana
There you are!

Yaan ukiwa mwingi wa mechi za hataree wala huupati!

Ukiwa mstarabu sasa, siku ukienda kula/ kuliwa kavu, status yako inabadilika ndani ya madakika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moguls kibao wanaishi life safi tu hapa mjini to their fine 80's wakiwa tayari walishaivagaa miwaya na habari watu wanazo! Kama life span yako ilikuwa 60+ you'll surely live to that as long as you live healthily!
Exactly...Tena madon hawa wa town, wengi wamelivaa hili dude, sema good life hawajali lolote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom