Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Asantee jasiri mwongoza njia, tupo pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si wadada tu bali kila jinsia na kila rika...

jaribun siku uende CTC za hospital yaan kuna wadada warembo hatari ila ndio waathirika, sasa baada ya kuona hayo akili inaweza kukukaa sawa..!!

Sent usingJamii Forums mobile app
 
[emoji15][emoji15]yan mdada kapendeza ghafla...sasa fikiria huyu dada kaanza kutumia dawa akiwa Arusha, baada ya miez 3 akaamua kuhama arusha ili watu wasimsome sana, akaenda maybe Morogoro na akafungua kazi zake na akakodi room yake fresh. Hlf ghafla tu unakutana nae njian unachukua namba, ukarimu upo wa hali ya juu, mnawasiliana weeeee, baada ya hapo ni sexing tuu. Maisha ni fumbo gumu sana na tunakutana na mafumbo meng sana maishan
 
Ndo ivyo mkuu,tuwe makini sana,UKIMWI upo
 
Natamani ufanyike uafiti wa idadi ya vifo vya watu wanaojinyonga baada ya kupewa majibu ya VVU kwa style "kijeshi"
Zamani mtoa ushauri anaangalia "mhemuko" wa mgonjwa kabla hajampa majibu yake na ikibidi anakwambia njoo kesho ili kumpa nafasi ya kujitafakari...sasa hivi bi dada nesi anakupa majibu yako huku anachati insta, ukiangua kilio anakuuliza " cha ajabu nini?
Kibaya zaidi na dawa unapewa siku hiyo hiyo...
 
Hahahahaaa dudu imevaa kitop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Cha ajabu nini?

Na dawa siku hiyo hiyo ukaanze. kutumia...daah

Mti wenye matunda.
 
Yani ndugu ujumbe umenigusa mbaya.Leo ni siku ya tano, nimeshatokea mzigo.Kila siku tunakutana, mpaka mtoto anaanza kuniona boya. Malengo ni kupima tu, hakuna ujanja aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…