Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Tulio na ndoa tuziheshimu ndoa zetu,Vijana wetu mjitunze yaani mbaya zaidi mko katika hatari mbaya maana wazazi wenu sikuhizi hatuna roho ya huruma tunaongoza kuwafatilia,kila mmoja amuhofu Mungu maishani mwake,hata kwenye Biblia inasema dhambi zote hufanyika nje ya mwili ila zinaa ni ndani yako kabisa,tujitahidi kuyatunza haya mahekalu ya Mungu,ni shetani tu anatutesa na kutuonesha utamu wa mbunye lakini hakuna aliyekufa kwa kukosa mbunye,ni vile mawazo yakizidi sana na mwili umewasha tamaa unaona kama unarauka kumbe wala hamna chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) tangulini uka ua mtu.!!???? Ni kama kusema Upungufu wa Mbegu za Kiume eti una ua mtu, uliwahi ona wapi.??

MGC
this capacity means you are in progress to get it anytime!
 
propaganda ndio zipoje chief?

Mkuu embu kawaulize wazungu kama walishawai kumuona hiv virus. Waulize pia tangu lini upungufu wa kinga mwilini ukasababishwa na virus.
Ukimwi ni biashara kama biashara nyingine


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna Condom inaweza fanya ladha ikawa kama kavuu...Hata iuzwee mil 100 mamaee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uongo
 
Kuna jamaa ana hii ishu....sasa siku namuuliza mbona hana wasiwasi huu ugonjwa hauumizi?

Akasema walaaa yaan eti mzima na yy anayeumwa wote sawa!...ila sikuamini hayo maneno yake!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yupo sahihi, ameshinda Stigma.

Stigma ni mbaya sana, wale ambao hawajajikubali na wamenyanyapaliwa hupata magonjwa nyemelezi na clinical failure mapema sana
 
Sio kweli mkuu...anko angu anagonga mwaka wa 14 huu...anakula arv na yuko fit kinoma!

Sema anatembeza dudu balaa...wale watu hawataki kuondoka peke yao!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama anatumia dawa vyema, viral load hushuka na cd4 kupanda vizuri..... Mara nyingi wagonjwa wa hivi hawana maambukizi.

U=U, meaning Undetectable=Untrasmittable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…