Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama


Siyo kweli, acheni kudanganyana
 
Nilipata juzikati mtoto mkali kutoka Mbeya ,kaja DSM nikamleta getho sasa ikabid nimpimr HIV pale chapu,majibu yalikuwa mazur,baada ya hapo ikafata mechi heavy aisee tamu sasa ....sasa zle vipimo nilikuwa Nazo mbili tu so zmeisha...sasa nimebaki na ile buffer so HV hizi rapid HIV test naweza zipata dukani maana hz za awali nilizipata kwa mbinde balaa!!!
Lkn pia n Mungu tu atulinde kwa sababu ukipima Mara moja huwez kupata fully positive results kabisa labda upime walau Mara mbili ktk nyakati tofauti ila walau kwa kupunguza risk naomba kuelekezwa kama HVO vipimo dukani vinapatikana tena au n haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Stigma is for real na inatesa sana
 
Binafsi nimekuelewa sana mkuu

"Enough of No Love"
 

Na kama mwanamke hupendi kusuguliwa?
 
Nimekupata mkuu,lakini ni afadhari ujiridhishe kidogo kuliko kwenda kichwakichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapime tena mkuu.
 
Kuna maeneo nimepita dogo mmoja anamsifia mdada mmoja nzuri anatembea kama bata na kesho anapanga akapige shoo, natamani angeuona huu uzi
 
Asiyechangia atakuwa amepigwa jiwe tayari
 
Asante kwa ushauri.
Na swala la kupima alilitanguliza mwanzo kabisa kabla hata hatujaafikiana,nikapuuzia ila still alisisitiza nikaona anajali afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…