Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ila condom zinaumiza uke jamani mmmh!

Mi mpaka naonaga nistopishe nikianza kuwaza ndomu khaa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukipata mtu NENDENI mkachangie damu, kile kipimo Chao cha HIV kinaonesha maambukizi hata ya ndani ya siku 3.

Mkitoka mpo poa mnalambana kavu kavu tu..... Kavu tamu aseeeh, asikuambie mtu
 
Kufa sio kizembe, yani uanze kujiua uache prado, vanguard, warembo wakali akati mwili ukiwa na nguvu wala hujaanza kuumwa na dawa zipo? Hahah labda uwe umechapa mbaya! Ila kama Jax lipo unasongesha na life kibishi uku unapiga mamedicals
Very strong and matured mentality mkuu

Watu wameishi na HIV miaka 25 na zaidi (tena wengine ni watoto waliozaliwa nao) na wengine wamekuja kufa kwa mambo mengineyo hlf kuna mwanaume anawaza kujiua
 
Very strong and matured mentality mkuu

Watu wameishi na HIV miaka 25 na zaidi (tena wengine ni watoto waliozaliwa nao) na wengine wamekuja kufa kwa mambo mengineyo hlf kuna mwanaume anawaza kujiua
Hajafikiria kwa mapana mkuu, ukiwa na majukumu na watu wanaokutegemea nyuma yako utaona umuhimu wa wewe kuwa hai no matter what!
 

Hamna condom inalingana na kavu hata kidogo Wit....
 

Kusex na mtu mwenye HIV haimaanishi kuwa ndiyo umeshaupata mkuu
 

Ha ha ha

Eti cha ajabu nini?

Na dawa unapewa siku hiyo hiyo....

Kweli cha ajabu nini kuwa na HIV, ilihali Ina dawa na watu wanaishi nao hata miaka 30 wanakuja kufa na vitu vingine.... Majibu mabaya ni kama vile kuambiwa una kansa hii na haina matibabu na una miezi 6 tu ya kuishi
 
😲😲Cancer una kaa miezi Sita tu 😢😢
 
🤣🤣🤣🤣 kwa nn ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…