Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ila condom zinaumiza uke jamani mmmh!

Mi mpaka naonaga nistopishe nikianza kuwaza ndomu khaa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukipata mtu NENDENI mkachangie damu, kile kipimo Chao cha HIV kinaonesha maambukizi hata ya ndani ya siku 3.

Mkitoka mpo poa mnalambana kavu kavu tu..... Kavu tamu aseeeh, asikuambie mtu
 
Kufa sio kizembe, yani uanze kujiua uache prado, vanguard, warembo wakali akati mwili ukiwa na nguvu wala hujaanza kuumwa na dawa zipo? Hahah labda uwe umechapa mbaya! Ila kama Jax lipo unasongesha na life kibishi uku unapiga mamedicals
Very strong and matured mentality mkuu

Watu wameishi na HIV miaka 25 na zaidi (tena wengine ni watoto waliozaliwa nao) na wengine wamekuja kufa kwa mambo mengineyo hlf kuna mwanaume anawaza kujiua
 
Very strong and matured mentality mkuu

Watu wameishi na HIV miaka 25 na zaidi (tena wengine ni watoto waliozaliwa nao) na wengine wamekuja kufa kwa mambo mengineyo hlf kuna mwanaume anawaza kujiua
Hajafikiria kwa mapana mkuu, ukiwa na majukumu na watu wanaokutegemea nyuma yako utaona umuhimu wa wewe kuwa hai no matter what!
 
Uwe na maji hata kama yale ya katerero, ukitumia ndomu huwa yanapungua, yanapokwenda sijui, inawezekana ni labda mwili tu unayavuta pale utakapoanza kutumia ndomu!...waulize wadada wengi watumiaji watakwambia hili so haihusiani na ukavu au la!...

Ni kweli ndomu inachubua, na ukishachubuka ladha ya mapenzi inakata!

But ukinunua expensive condom hayo yote huwezi kuyasikia!...Ni kama mnakulana kavu tuu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna condom inalingana na kavu hata kidogo Wit....
 
[emoji15][emoji15]yan mdada kapendeza ghafla...sasa fikiria huyu dada kaanza kutumia dawa akiwa Arusha, baada ya miez 3 akaamua kuhama arusha ili watu wasimsome sana, akaenda maybe Morogoro na akafungua kazi zake na akakodi room yake fresh. Hlf ghafla tu unakutana nae njian unachukua namba, ukarimu upo wa hali ya juu, mnawasiliana weeeee, baada ya hapo ni sexing tuu. Maisha ni fumbo gumu sana na tunakutana na mafumbo meng sana maishan

Kusex na mtu mwenye HIV haimaanishi kuwa ndiyo umeshaupata mkuu
 
Natamani ufanyike uafiti wa idadi ya vifo vya watu wanaojinyonga baada ya kupewa majibu ya VVU kwa style "kijeshi"
Zamani mtoa ushauri anaangalia "mhemuko" wa mgonjwa kabla hajampa majibu yake na ikibidi anakwambia njoo kesho ili kumpa nafasi ya kujitafakari...sasa hivi bi dada nesi anakupa majibu yako huku anachati insta, ukiangua kilio anakuuliza " cha ajabu nini?
Kibaya zaidi na dawa unapewa siku hiyo hiyo...

Ha ha ha

Eti cha ajabu nini?

Na dawa unapewa siku hiyo hiyo....

Kweli cha ajabu nini kuwa na HIV, ilihali Ina dawa na watu wanaishi nao hata miaka 30 wanakuja kufa na vitu vingine.... Majibu mabaya ni kama vile kuambiwa una kansa hii na haina matibabu na una miezi 6 tu ya kuishi
 
Ha ha ha

Eti cha ajabu nini?

Na dawa unapewa siku hiyo hiyo....

Kweli cha ajabu nini kuwa na HIV, ilihali Ina dawa na watu wanaishi nao hata miaka 30 wanakuja kufa na vitu vingine.... Majibu mabaya ni kama vile kuambiwa una kansa hii na haina matibabu na una miezi 6 tu ya kuishi
😲😲Cancer una kaa miezi Sita tu 😢😢
 
Huu uzi utakua na idadi kubwa sana ya watazamaji lkn itakosa wachangiaji...
Anyway ni kawaida yetu hatutak kuambiwa ukweli...
Asante mkuu kwa kutukumbusha ukweli huu mchungu japo HIV sio miongoni mwa magonjwa tishio tena kama ilivyokua hapo awali

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 kwa nn ndugu
 
Back
Top Bottom