Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

Kuna wengine wanatoa ushuhuda hawatumii dawa na Afya iko njema
Hapana dear!

Kuna demu mmoja alikuwa mbishi ( fellow staff) akakataa ARV...asee alinyonyoka nywele, akakonda, almanusura afe!

Tulivyompa ushauri hivo hivo kimagumashi, tukampeleka hospital akapewa dawa akaanza kutumia!

Kimbembe zikiisha hataki kwenda kituoni ananituma mimi, mi sinaga hiyana nikawa namchukulia nampa!

Sasa hivi kahamishwa mkoa kikazi, sasa hata kule hataki kwenda kituo kuchukua anataka nimfatie kituoni hapa dar halafu nimtumie kwenye basi[emoji849][emoji849]

Ntatumia njia nzuri tena kumuelewesha aende kituoni huko aliko achukue maana na mimi niko busy hiyo kazi yake inakaribia kunishinda!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu ili uwe na maambukizi unahitaji kuwa na virus wa kutosha kwenye mzunguko wako wa damu.... Ndiyo maana mtu aliyeambukizwa recently anakuwa na maambukizi makubwa sana kwasababu virus wanakuwa wanazalishwa kwa wingi kwenye mwili wakati huo mwili wako ukipigana kujaribu kushusha hao virus.


Sasa mtu anayetumia dawa maana yake anazuia replication ya wadudu kiasi kwamba mzunguko wa virus kwenye damu inakuwa ndogo sana mpaka katika level ya kuwa labda copies chini ya 5 au undetectable level.... Sasa hapa huyu mtu in terms ya maambukizi na afya yake anakuwa hana tofauti na mtu ambaye hana
Ok ok..

Pia kuna ile ishu wanasema kuwa eti dawa inalewesha virus, so muda mwingi wamesinzia[emoji848]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna test inayoweza kukupa false Negative,,,, Bioline tu mnayojipima nayo mtaani Ina sensitivity ya 100%.(haina false negative)

Hizo story za coca, sijui Pepsi hamna kitu km hicho
Umenikumbusha swali hapa!

Eti ni kweli Bioline ikikupa majibu + na ukaenda kwenye kipimo kikubwa ni mara chache sana kupata _ results?

Ni kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwel yaan,maana HV niliviagiza kwa bro wangu mmoja huko mkoanj,yy n nesi ....ila kwenye maduka n mbinde sana yaan......
Condom nayo duuuuh,sitaki kusema sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndomu mizinguo!

Inabidi ujicommit kwelikweli...

Wengine tumejiweka kwenye ndomu coz bado ndoto zetu hatujazitimiza[emoji134]...so mapenzi ni ile haste haste!

Tukifikisha mamiaka 35_50 full kujiachia[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viral load ikiwa undetectable labda awanyunyuzie damu Lita moja.... It is difficult my dear.

Hivi unajua kwa mwanaume kuambukizwa na mwanamke HIV chance yake ni 0.38%, tena hapa ni kwa yule ambaye hatumii dawa?
Eeeh[emoji134][emoji134]...kwahiyo wanawake ndo rahisi kuambukizwa eeh?

Na nilazima uchubuke ndo unaupata au tu hata normal sex?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom