Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

Kwa hiyo Asas amekupa hela.
 
Sasa nyny mmefanya nn Cha maana, chagueni mtu wa maana atakae upamba mj si lazima awe asas lakini awe ni mtu mwenye focus ya maana
 
Hujui chochote juu ya ujenzi wa miundombinu ya barabara za ndani ya manispaa au mji. Hiyo ni miradi inayosimamiwa na serikali kupitia wizara kwa bajeti walizoomba na kupitisha bungeni! Hakuna mbunge anayejenga barabara, elewa Hilo! Hans huko ccm kunadumaza akili yako hainyambuliki wewe chawa wa ukoo wa Abri!
 
Kwahyo hizo bajeti zimeanza kusomwa sahz kipindi cha jesca syo, ndo maana nakwambia mmechagua chadema miaka kumi Hakuna hata shule ya gorofa, ameacha barabara kibao zinavumbi halafu leo Tena mnamtaka huyohyo 🤣 kipindi cha msigwa watu wkend wanatoka manispaa wanaenda kula bata SHIMON CLUB MAFINGA kwasabu ya poor infrastructure ..mlitutia aibu Sana
 
Kama kweli ni "muIringa" basi una matatizo kumutwe.Elewa hivyo tu.
 
Kama kweli ni "muIringa" basi una matatizo kumutwe.Elewa hivyo tu.
Tuchague watu ambao wataisemea Iringa na kuitangaza inakuwaje mji wa zamani mpaka Sasa viwanja mil.2.5 kweli....ASAS ameitangaza kwa bidhaa zake Ila Sasa inatakiwa...hata njombe hakuna kiwanja Cha mil.2.5
 
Wewe ni chawa mkavu sana.Acha watu waamue wenyewe.Umepewa maziwa na nauli ya kurudia Kinegamgosi unakuja kusumbua watu JF!
 
Mbunge awe Ni yule ambaye anauzalendo mkubwa ndani ya sehem husika...Kama ni manispa Basi atoe ahadi yakupaisha liwe jj akishndwa anaondoka anakuja mwngne lakin syo blah blah hz za cdm
 
Sawa mama kuku
Ni hivi, uwajibikaji huo ni invitation to treaty....
Si lazima awe yy Ila tuchague mtu ambae ataipaisha manispaa kuwa jj, syo mnachagua chagua tu..huyo msigwa alishindwa hata kujenga ofs yake ya mkoa😄😄 kwa miaka yote hyo ...ino utigilaga uyo munu pedee🤣
 
Mbunge awe Ni yule ambaye anauzalendo mkubwa ndani ya sehem husika...Kama ni manispa Basi atoe ahadi yakupaisha liwe jj akishndwa anaondoka anakuja mwngne lakin syo blah blah hz za cdm
Yah exactly
 
Wewe ni chawa mkavu sana.Acha watu waamue wenyewe.Umepewa maziwa na nauli ya kurudia Kinegamgosi unakuja kusumbua watu JF!
Ninawashauri wachague watu wa maana syo porojo porojo tu wanatuchelewesha maendeleo ss Wana Iringa manispaa imagine mtu amekaa miaka 10 ameshindwa kujenga ofs yake mwenyewe
 
Si lazima awe yy Ila tuchague mtu ambae ataipaisha manispaa kuwa jj, syo mnachagua chagua tu..huyo msigwa alishindwa hata kujenga ofs yake ya mkoa😄😄 kwa miaka yote hyo ...ino utigilaga uyo munu pedee🤣
Unaanza kutoka kwenye nafasi ya kuku mzazi unaelekea kwenye kufuga.

Simtetei Mch. Msigwa wala fissdi kutoka CCM.

Fahamu kwamba uongozi ni dhamana. Tambueni mahitaji yenu kisha tafuteni mwakilishi mwenye uelewa na siyo kwenda kuunga mkono hoja mia kwa mia.

Nchi inataka maendeleo na siyo uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…