Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Kwa hiyo Asas amekupa hela.Huyu aliyopo yupo vizuri zaidi kuliko wa nyuma yake, Ila tu 2025 tuwachuje kwa lengo la kupata mbunge ambae ataiheshimisha iringa mjn Kama ilivyo dodoma kwasasa, afanye vitu vya maana ambavyo watu watavi notes nakuona Sasa iringa mjn inafaa iitwe jiji Ila huyu jesca amejitajd mno