Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

UJINGA ni mtaji mkubwa wa watawala, Asas ni businessman sio politicians,...unajua wewe utajiri wake huu umetokana na nini?,Songea kule hawa jamaa wameua tembo wetu wengi tu,na sasa wanakuwa rewarded na vyeo hivi ili wajifiche zaidi, it's craze

Ukiombwa ushahidi utatoa? Acha ubaguzi mkuu. Kwani hakuna viongozi wa kiafrika hawauwi tembo wetu! Au kwakua ngozi nyeupe ndio umkandie!
 
mikoa mipya imeanza juzi tu kwetu(kama umenyonya kabla ya 2000.Before 2000 huko makete ilikuwa Iringa bado.
Sawa mkuu ..ishu ni kwamba mafinga na makambako zinakua faster kuliko iringa mjn hii ni kwasabu ya uchaguzi mbaya wa wawakilishi wetu...huyo jesca Bora hata barabara znajengwa
 
Unaanza kutoka kwenye nafasi ya kuku mzazi unaelekea kwenye kufuga.

Simtetei Mch. Msigwa wala fissdi kutoka CCM.

Fahamu kwamba uongozi ni dhamana. Tambueni mahitaji yenu kisha tafuteni mwakilishi mwenye uelewa na siyo kwenda kuunga mkono hoja mia kwa mia.

Nchi inataka maendeleo na siyo uchawa
Tuache kuchagua watu wasio na nguvu na focus ya maendeleo otherwise Iringa itabaki nyuma daima
 
Mtabakia maskini miaka yote...mpo manispaa lakini akili mnazidiwa na watu wa halmashaur....watu wataendelea kupeleka hela za bata mafinga..
Hivi unaelewa kwamba unachokifanya hapa hauna tofauti na campaign manager wa Mch.Msigwa?
 
ASAS amekuwa tegemeo kubwa sana kwa Wana iringa mpaka njombe...licha ya kutoa maziwa bure mashuleni kwa mikoa ya IRINGA na Njombe PIA amewanyanyua watu wengi Sana kiuchumi Wenyeji ni mashahidi.
MPENI JIMBO ASAS 2025, PEDE UYO TUTIGILAGE MYETU HELA.
NB: HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI YASITAFSIRIWE VINGINEVYO
Mfanyabiasha akawe msemea wananchi Bungeni [emoji848][emoji848][emoji848] RIP Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 
Sasa huyo msigwa nimpgie kampen kwa kipi Cha maana alichokifanya mtu ambae ameshindwa hata kujenga ofs yake mwenyewe ndo atafanya iringa iwe jj huyo...hata kuomba kuwa jj wanaona aibu Kwasabu ya poor infrastructure
 
Una maanisha tajir akawatetee masikini???
 
So lazma awe yy Ila awe ni mtu ambae ataiweka Iringa kuwa mahali pazuri..ona Sasa hv mbeya ilivyo tamu vijana wanahela hata trip za dar zimepungua sasa iringa mtu anatoka manispaa anenda kutafuta hela mafinga
 
Ingawa syo lazima awe yy Ila awe Ni mtu anayeendana na yy kwenye ishu ya resources...syo mnachagua maskini wanashindwa hata kujenga ofs ya gorofa mjn kwanza ofs haipo kabisa
 
So lazma awe yy Ila awe ni mtu ambae ataiweka Iringa kuwa mahali pazuri..ona Sasa hv mbeya ilivyo tamu vijana wanahela hata trip za dar zimepungua sasa iringa mtu anatoka manispaa anenda kutafuta hela mafinga
Hata awe Nani lakini ikiwa Serikali itaendelea kuwapo katika himaya ya wahuni ni bure.
 
Sasa huyo msigwa nimpgie kampen kwa kipi Cha maana alichokifanya mtu ambae ameshindwa hata kujenga ofs yake mwenyewe ndo atafanya iringa iwe jj huyo...hata kuomba kuwa jj wanaona aibu Kwasabu ya poor infrastructure
Unapenda sana ofisi?Mchague mwenyekiti wa bodaboda.Mbona ana ofisi?
 
Hata awe Nani lakini ikiwa Serikali itaendelea kuwapo katika himaya ya wahuni ni bure.
Hivi unajua watu walianza kuitamani makambako Iringa ilidoda sana...msigwa alikuwa na madiwani kibao lakini hata ofs tu hamna jamani....chagueni watu wamaana
 
Mtabakia maskini miaka yote...mpo manispaa lakini akili mnazidiwa na watu wa halmashaur....watu wataendelea kupeleka hela za bata mafinga..
Unawaza bata za mafinga coz kule ndo wanakijij na maskin mmejazana kunywa michujo! Bata la iringa huyo asas bosi wako analijua ndo mana mda mwngi unamkuta mount royal!
 
Kiutaratibu gari inayotoka mafinga inatakiwa ijaze Ila inaporudi mafinga irudi tu..ndo utajua mj umekuwa imagine watu wanatoka iringa wanaenda kufanya kazi mafinga kweli
 
Back
Top Bottom