Wakiristo bana ukiwaona kwa nje ni watu wema sana, sasa soma maandiko yao. Ndio utajua sio watu wa kama uwaonavyo.
Halafu wengi akili zao ni duni sana. Ukiachilia mbali kuwanufaisha wachungaji kwa kuuziwa mafuta, ni watu wenye chuki sana kwa uislamu, kuliko hata kuwa na mapenzi na mafundisho yao. Pia wengi wao hawaijui Bibilia.
Tukiangalia mfano wa sasa, kwenye mauaji ya kimbari wanayofanyiwa waPalestina, kwenye bibilia wanaamini nchi ya Palestina ni nchi ambayo wameahidiwa wana wa Israel.
1. Hawatambui kwamba Israel iliyotajwa pale sio Israel ya sasa, kwenye bibilia ni Israel ni kabila la Yakobo, ni watu wa Yakobo, hata kama kuna watu walipewa mikataba kwamba baada ya miaka 2000 nchi ile ni yao, basi sio hawa Mazayuni wanaotoka Ujerumani na Poland
2. Watu wanaojiita Israel, ni watu "anti-christ" ukienda Israel ukileta ukiristo unaweza temewa mate, wakati Police anakuona na hazuiliwi, ukijaribu kumlipizia mzayuni, unapigwa risasi unakufa
3. Wakristo ni watu ambao, wanaamini Yesu aliwapa hii nchi ya ahadi, na wanaamini nchi ile ni mali ya Chama Cha Zionism, na wana haki ya kuua mtu yoyote. Lakini ukimuuliza mtu dini gani inahalalisha mauaji, ukiristo hautatajwa.
Kuna mdau anasema nchi za kiislam kamaa Syria ni nchi zinazoongoza kwa umasikini, inaweza kuwa kweli ila vita vimesababishwa na wale ambao Yesu aliwaahidi nchi ya Ahadi, wao ndio mastermind wa Vita Vyote. Nchi Kama Palestine, kabla ya Yesu hajaigawa kwa watu wa Poland na German, ambao Hitler aliwachoma kama sekela, nchi ile ilikuwa ni nchi yenye maendeleo makubwa. Sasa naamini ingekuwa hakuna ahadi ya kupokonywa nchi watu fulani na kupewa watu fulani haya yote yasingetokea,