Rorscharch
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 878
- 2,014
- Thread starter
- #41
MwarabuHayo mataifa yanajipendekeza kwa waarabu ili wapate chochote kitu haya jibu kati ya hao wazungu na waarabu nani anamtegemea mwenzie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwarabuHayo mataifa yanajipendekeza kwa waarabu ili wapate chochote kitu haya jibu kati ya hao wazungu na waarabu nani anamtegemea mwenzie?
Basi mwenyewe unajiona umemwaga pointiiiii!Wakiristo bana ukiwaona kwa nje ni watu wema sana, sasa soma maandiko yao. Ndio utajua sio watu wa kama uwaonavyo.
Halafu wengi akili zao ni duni sana. Ukiachilia mbali kuwanufaisha wachungaji kwa kuuziwa mafuta, ni watu wenye chuki sana kwa uislamu, kuliko hata kuwa na mapenzi na mafundisho yao. Pia wengi wao hawaijui Bibilia.
Tukiangalia mfano wa sasa, kwenye mauaji ya kimbari wanayofanyiwa waPalestina, kwenye bibilia wanaamini nchi ya Palestina ni nchi ambayo wameahidiwa wana wa Israel.
1. Hawatambui kwamba Israel iliyotajwa pale sio Israel ya sasa, kwenye bibilia ni Israel ni kabila la Yakobo, ni watu wa Yakobo, hata kama kuna watu walipewa mikataba kwamba baada ya miaka 2000 nchi ile ni yao, basi sio hawa Mazayuni wanaotoka Ujerumani na Poland
2. Watu wanaojiita Israel, ni watu "anti-christ" ukienda Israel ukileta ukiristo unaweza temewa mate, wakati Police anakuona na hazuiliwi, ukijaribu kumlipizia mzayuni, unapigwa risasi unakufa
3. Wakristo ni watu ambao, wanaamini Yesu aliwapa hii nchi ya ahadi, na wanaamini nchi ile ni mali ya Chama Cha Zionism, na wana haki ya kuua mtu yoyote. Lakini ukimuuliza mtu dini gani inahalalisha mauaji, ukiristo hautatajwa.
Kuna mdau anasema nchi za kiislam kamaa Syria ni nchi zinazoongoza kwa umasikini, inaweza kuwa kweli ila vita vimesababishwa na wale ambao Yesu aliwaahidi nchi ya Ahadi, wao ndio mastermind wa Vita Vyote. Nchi Kama Palestine, kabla ya Yesu hajaigawa kwa watu wa Poland na German, ambao Hitler aliwachoma kama sekela, nchi ile ilikuwa ni nchi yenye maendeleo makubwa. Sasa naamini ingekuwa hakuna ahadi ya kupokonywa nchi watu fulani na kupewa watu fulani haya yote yasingetokea,
Haya piga makofi kwa jibu lako.Mwarabu
AsanteHaya piga makofi kwa jibu lako.
Ndugu yangu..... Mimi ni zao lenu; Mama yangu Muislamu na Baba yangu Mkristoوَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّـهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّـهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ ﴿١٢٠﴾
120. Na hawatoridhika nawe Mayahudi wala Manaswara mpaka ufuate mila zao. Sema: Hakika Mwongozo wa Allaah ndio Mwongozo (pekee). Na ukifuata hawaa zao baada ya yale ambayo yamekujia katika ilimu, basi hutopata kutoka kwa Allaah rafiki mlinzi yeyote wala mwenye kunusuru.
Suuratl Baqara
Ndugu sylver5 wewe hata sio wa mwanzo kuuchukia uislam walitangulia kabla Yako wengi tu na wamekufa bado uislam upo na utaendelea kuwepo mpka atapotaka Allah nikuombee tu kwa Allah akupe akili ya kujua njia ya haqq
ALLAH ATUONGOZE MIMI NA WEWE NA WANAJAMII FORUMS WOTE.
Kama sio chuki unalolisema ni kweli vip kuhusu miji ya pwan (ambako waislam ni weng) na miji ya nyanda za juu kusin iringa mbeya (ambako wakristo wengi) unazungumziaje upande wa maendeleo? kama wewe ni mkweli?Ndugu yangu..... Mimi ni zao lenu; Mama yangu Muislamu na Baba yangu Mkristo
Yaani kisa tu nimetoa observation ya kitu nilichokiona nimeanza kuonekana nachukia Uislamu?
Mimi nimeongelea kwa muktadha wa Dar es salaamKama sio chuki unalolisema ni kweli vip kuhusu miji ya pwan (ambako waislam ni weng) na miji ya nyanda za juu kusin iringa mbeya (ambako wakristo wengi) unazungumziaje upande wa maendeleo? kama wewe ni mkweli?
Ninavyofahamu mim swala la uvivu ni la mtu binafs sio dini na uislam uko mbali na uvivu na wavivu ndio maan mtume Muhammad صلي الله عليه و سلم katufundisha Kila Dua za kuomba asubuh na jion Kila siku miongon mwanzo ni kumuomba Allah atuepushe na uvivu na uzee mbaya وأعوذبك من الكسل والسوئ الكبر
Huwezi kuzungumzia sehemu zingine kwasababu uhalisia unapingan na unachokisema 😃😃Mimi nimeongelea kwa muktadha wa Dar es salaam
Kerib kerib
- Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
- Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
- Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?
Siwezi kuongelea maeneo mengine kwasababu sijafika na kujionea uhalisia wa hukoHuwezi kuzungumzia sehemu zingine kwasababu uhalisia unapingan na unachokisema 😃😃
Nini hicho mkuu ? 😳Sema dar nzima ila usiiguse mbagala au chamazi...
Mkuu unachotafuta utakipata 🙌🙌🙌