Ndugu zangu waislam nina maswali

Rorscharch

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
878
Reaction score
2,014
  1. Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko wakristo
  2. Kwanini watoto zenu wanasoma vizuri tu kwenye shule za Kikristo (mission) ila watoto zetu kusoma zenu ni changamoto
  3. Mbona mnakula sana kitimoto ndugu zangu? Mmejiruhusu au mmeruhusiwa?
 
Sisi hatuhangaiki na elimu dunia, SISI NI ELIMU AHERA . dini ya mwenyaaazi mungu
 
Maswali yakichokozi kweli kweli,kama Hilo la tatu,takwimu iyo umeipata wapi?,nalisikia kughadhabika yaani!!,ngoja nitulize presha tu.
 
Wewe hauishi hayo maeneo ulijuaje?
 
Hawa wameshaharibiwa na viongozi wao!
Wanawaza upumbavu!

Kwani nyie mnakaa wapi kusiko na umaskini Tanzania hii?

Mbona hutaji Ilala na Kariakoo ambako wagalatia hawapo?

Kitimoto kula tu, hata kulala nayo lala nayo tu sio lazima uwatie Waislamu kwenye ujinga wako!
 
Usikute unaandika hii post huku umetoka kugombana na mtoto wa dada ako mkigombea chapati, ugomvi ambao shemeji ndio amesuluhisha.
Shemeji amekubaliana na mtazamo wangu ; na yeye anasubiri ji
Kuna umaskini wa mtu mmoja mmoja na kuna umaskini wa kimakundi
 
Kwahiyo kwanini Uarabuni hamna umaskini lakini Mbagala na Buguruni upo?
 
Mbona Yemen hamna Makafir lakini nchi takataka, Iraq, Syria, Somalia?
Nikutajie nyingine?
 
Wakiristo bana ukiwaona kwa nje ni watu wema sana, sasa soma maandiko yao. Ndio utajua sio watu wa kama uwaonavyo.
Halafu wengi akili zao ni duni sana. Ukiachilia mbali kuwanufaisha wachungaji kwa kuuziwa mafuta, ni watu wenye chuki sana kwa uislamu, kuliko hata kuwa na mapenzi na mafundisho yao. Pia wengi wao hawaijui Bibilia.

Tukiangalia mfano wa sasa, kwenye mauaji ya kimbari wanayofanyiwa waPalestina, kwenye bibilia wanaamini nchi ya Palestina ni nchi ambayo wameahidiwa wana wa Israel.
1. Hawatambui kwamba Israel iliyotajwa pale sio Israel ya sasa, kwenye bibilia ni Israel ni kabila la Yakobo, ni watu wa Yakobo, hata kama kuna watu walipewa mikataba kwamba baada ya miaka 2000 nchi ile ni yao, basi sio hawa Mazayuni wanaotoka Ujerumani na Poland

2. Watu wanaojiita Israel, ni watu "anti-christ" ukienda Israel ukileta ukiristo unaweza temewa mate, wakati Police anakuona na hazuiliwi, ukijaribu kumlipizia mzayuni, unapigwa risasi unakufa

3. Wakristo ni watu ambao, wanaamini Yesu aliwapa hii nchi ya ahadi, na wanaamini nchi ile ni mali ya Chama Cha Zionism, na wana haki ya kuua mtu yoyote. Lakini ukimuuliza mtu dini gani inahalalisha mauaji, ukiristo hautatajwa.

Kuna mdau anasema nchi za kiislam kamaa Syria ni nchi zinazoongoza kwa umasikini, inaweza kuwa kweli ila vita vimesababishwa na wale ambao Yesu aliwaahidi nchi ya Ahadi, wao ndio mastermind wa Vita Vyote. Nchi Kama Palestine, kabla ya Yesu hajaigawa kwa watu wa Poland na German, ambao Hitler aliwachoma kama sekela, nchi ile ilikuwa ni nchi yenye maendeleo makubwa. Sasa naamini ingekuwa hakuna ahadi ya kupokonywa nchi watu fulani na kupewa watu fulani haya yote yasingetokea,
 
Mbona Yemen hamna Makafir lakini nchi takataka, Iraq, Syria, Somalia?
Nikutajie nyingine?
Unazungumzia kabla ya uvamizi wa Israel (watu wa Mungu) au baada ya uvamizi wa Israel? Tuangalie Historia kabla ya mkataba waliopewa na Yesu kwamba 1945 ile nchi itakuwa yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…