Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Nimefuatilia sana tunapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni;
1) Tupunguzieni ushuru wa Tende
2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi
Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta za Quran.
Kwa upande wa Wakristo wanapokutana na wakuu wa nchi. Mambo wanayoyaomba;
1) Kupunguziwa ushuru wa vifaa vya huduma za shule, vyuo na hospitali
2) Kuomba maeneo ya kujenga shule, vyuo na hospitali
Sasa tunategemea tunaweza kushindana na akili hii? Na tukitoka hapo kwa upande wetu tukiwa kwenye bao na vijiwe vya kahawa tunaanza kulalamika mfumo kristo unatuhujumu, wanapendelewa na ndio maana wapo mbele kielimu. Tunajihujumu wenyewe kwa kutaka kula Tende halua chini ya miswala badala ya kuwaza kujenga shule na vyuo ili vijana wetu wasome. Ubize wetu wa kutaka kupunguziwa ushuru wa Tende na kutaka ofa za kwenda kuhiji Maka ndio msiba wetu. Na tukitoka huko kuhiji kwa ofa, na kujiita ma Alhaj, tunaanza kuuza maeneo ya waislamu yaliyotupu au kugombania kodi za maduka ya msikiti. Huku wenzenu kila siku wananunua hekali za kutosha za ardhi kwajili ya kujenga shule na vyuo.
Sikiliza,
Waislamu mashekhe wetu wengi ni darasa la 7 au form 4, ukuta wao wa mwisho ni aya za Quran na suna. Kazi yao kuu ni kuwapa ofa ya kuwatolea vijana mahari na kugombana na hoja za bidaa na si namna ya kuendeleza waumini wetu kisasa. Sasa kweli tutakuwa na hoja zenye tija juu ya bandari dhidi ya wasomi wenye PHD?
Hivyo chuki ipo kwetu na si kwa Wakristo. Daima watu wasio na elimu hoja za elimu kwao inakuwa kama chuki wanapokutana na kigingi cha mtu mwenye elimu.
Tuondoeni vile vizee vya albadir, tuwekeni vijana wasomi kwenye maeneo ya ofisi zetuu kamwe hatutaona lawama hizi.
Lawama na makasiriko si mtaji zaidi ya kuharibu amani ya nchi. Inauma lakini tuimeze hivyo hivyo shekhe.