Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Hawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
kwani kuna uthibitisho wa ziada kwamba huo ni uisilamu gentleman?🐒Hawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
View attachment 3687547
Umesikia na kutafsiri maneno yao, au ndio kuchukulia uficho wa lughakwani kuna uthibitisho wa ziada kwamba huo ni uisilamu gentleman?🐒
Ukiangalia mazingira ya hiyo picha, DJ yupo kule nyuma lakini pia mapicha kibao yamebandikwa ukutani, naamini kabisa hao sio waislam. Yawezekana ni watu wapo kwenye shughli yao ya kimila nkHawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
View attachment 3687547
HahahaaHao ni makafiri waliovaa kanzu, sio Waislamu 😎
Kwako shehe Mazinge.Astakafirilah mtumishi wa Mungu 😂
Hawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
View attachment 3687547
Hii dini kwani si ya mtume na allah au?Acha kuingilia mambo ya dini za watu wengine
Walinde migongo yao.
Bro naona hao makafiri ukawavalisha hadi kibagalashee 😂😂😂😂.Hao ni makafiri waliovaa kanzu, sio Waislamu 😎
Hapo bilashaka ni Saudi Arabia, hilo fazi la kanzu ni vazi kama vile unavyoo vaa jinsi tu,tena unaweza kuta hao ni wakristokwani kuna uthibitisho wa ziada kwamba huo ni uisilamu gentleman?🐒
Je hii nayo ni sunna secretarybird akiwa anamwaga mauno kinesi
Kwann hautaki kuamini kuwa hao ni kobaz?.Hapo bilashaka ni Saudi Arabia, hilo fazi la kanzu ni vazi kama vile unavyoo vaa jinsi tu,tena unaweza kuta hao ni wakristo
Wenzio hata bar huenda na hayo mavazi kula urabu
kwamba maneno yao ndio uisilamu au?🐒Umesikia na kutafsiri maneno yao, au ndio kuchukulia uficho wa lugha
uko sahihi 100% gentleman 🤝Hapo bilashaka ni Saudi Arabia, hilo fazi la kanzu ni vazi kama vile unavyoo vaa jinsi tu,tena unaweza kuta hao ni wakristo
Wenzio hata bar huenda na hayo mavazi kula urabu
Hiki kividio mtafitage na kingine sasa kila siku ndio hicho hicho tuHawa naona wanaelekea kuleft kabisa, je hii ni sawa kiislamu?
View attachment 3687547
Mimi nimezungumzia hali halisi kama unainjoy kuwasema waislamu wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tuKwann hautaki kuamini kuwa hao ni kobaz?.
Achana na vazi, si Umeona vibagalashee.
Hao ni Kobaz, na usiwaonee wivu na mauno yao.