Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

Ukiangalia mazingira ya hiyo picha, DJ yupo kule nyuma lakini pia mapicha kibao yamebandikwa ukutani, naamini kabisa hao sio waislam. Yawezekana ni watu wapo kwenye shughli yao ya kimila nk
Kumbuka Uislam sio kuvaa kanzu wala kofia, hayo ni mavazi tu....
mnavopenda kujitetea sasa...ila sisi tunajua hao ni wenzenu
 
mnavopenda kujitetea sasa...ila sisi tunajua hao ni wenzenu
Kwani kuna mahala wamesema "La ila-ha illallah" AU umeona wamebeba Quran
AU umesikia wakitamka neno gani ukajiaminisha ni Waislam?
 
Kwani kuna mahala wamesema "La ila-ha illallah" AU umeona wamebeba Quran
AU umesikia wakitamka neno gani ukajiaminisha ni Waislam?
Hao ni waislam bwana acha longolongo, yaani we muislam wa Mbagala maji matitu unajifanya unaujua uislam kuliko mwarabu wa Oman?
 
Hapo bilashaka ni Saudi Arabia, hilo fazi la kanzu ni vazi kama vile unavyoo vaa jinsi tu,tena unaweza kuta hao ni wakristo

Wenzio hata bar huenda na hayo mavazi kula urabu

Ila wafuasi wa mudi bhana. Eti pombe na mabikra watapewa peponi 🤣🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 746A2D79-274E-49AA-8B62-3087AC8360F3.jpeg
    746A2D79-274E-49AA-8B62-3087AC8360F3.jpeg
    61.2 KB · Views: 6
Hapo bilashaka ni Saudi Arabia, hilo fazi la kanzu ni vazi kama vile unavyoo vaa jinsi tu,tena unaweza kuta hao ni wakristo

Wenzio hata bar huenda na hayo mavazi kula urabu
Hawa ni waislamu wenzenu ndugu zenu katika imani kama Juma lokole, Ommy dimpoz, mwijaku na afande rama wa Zanzibar aliyefirwa kwenye gari. Wote ni watoto wa kiislamu.
 
Hao ni waislam bwana acha longolongo, yaani we muislam wa Mbagala maji matitu unajifanya unaujua uislam kuliko mwarabu wa Oman?
Kwa hiyo ukienda Italy/Vartican ukakuta watu wanatambika uatesema wakatoliki wanatambika?
 
Back
Top Bottom