Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWasabato ni Wayahudi walioamua kumfata yesu.
Wasabato ndo waamini wanaosoma maandiko bila kujua kuyatafakari
Kipindi fulani hivi around 2012, kuna jamaa ali join haya makanisa ya kutafuta followers, akaukana ukatoliki. Hoja zake za kuukimbia ukatoliki ni kama hizo nilizozibainisha hapo juu. Lakini mambo yalipo fall apart( lilikuwa ni kanisa la wa siloamu )akarudisha mpira kwa kipa. Akarudi ndani ya ukatoliki kwa adabu zote. Kwa sasa hawezi kukosa misa ya kwanza na ibada ya jumuiya kila alfajir😄😄Uzuri wa sisi wakatoliki;
1. Ukituponda tunakusikiliza, ukimaliza tunaenda kwenye kitimoto na bia halafu nyumbani
2. Dominika tunakwenda kanisani kwenye misa kisha tunapitia baa na kwa ajili ya kitimoto na bia
3. Hatulazimishi mtu kuamini tunachokiamini. Ukiona unataka kujiunga nasi, wewe mwenyewe tafuta kanisa lilipo, uende ukasadiki basii..!!!