Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.

Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.

Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.

Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?

Vijana wa mbwa mwitu wanalipwa na nani na kuongozwa na nani, usalama wa ukoje kwa kiongozi wa dini kujisifu kuwa na kundi la mbwa mwitu wenye mafunzo?.

Maoni yangu.
Kundi hili huenda kwa sasa likaonekana zuri kwa kuwa linaonekana kuisaidia Serikali lakini baade huko mwelekeo wao ukabadilika na kuwa hatari kwa jamii na tukawa tunaelekea kuwa Nigeria.
 
Hii ni michezo ya hatari sana, bahati mbaya binadamu ni wagumu kujifunza kutokana na historia.
 
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.

Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.

Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.

Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama A I?
View attachment 3612438
Vyama vya siasa vilizuiwa kuwa vikundi vya ulinzi sasa huyu amepewaje ruhusa ya kuunda vikundi vya kudhuru watu.?
 
TFF sio mpira ni Wale wa msituni FREEDOM FIGHTERS

siku ndege inayobeba silaha zakutumika kule DRC idondokee TZ, Sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom