Hawa ndo watakuwa mbwa mwitu wa kwanza duniani kula posho kutoka ccm kwa kudhuru watanganyika wenzao 🔥Na huyu ajiangalie asije akapelekwa peponi kula mabikra akiambatana na hao mbwa mwitu wake
Hata huko washazidiwa tayari. Si muslims wote wanaokubaliana na huo upumbavu.Watawala wamezidiwa Sasa wanajifichia kwenye DINI hii
Hao watu wa system walikuwa wapi wakati ndugu zetu wanauawa kwa maelfu?Ila trust me huyo washamseti watu wa system na kajaa huyo ni next target anakula chuma muda c mrefu.
Mbaya zaidi maadam kauli za hawa wahuni zinaegemea kwa watawala, hutasikia tamko lolote la kulaani kutoka kwa hao wanaojiita polisi .Aisee kama Taifa bila kujali itiladi zetu za siasa naona tunaelekea kibaya snaa.
Mbwiga tu huyo, wakoloni na makaburu walikuwa na mikwala zaidi ya hiyo. Action speaks louder than words.Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.
Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.
Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?
Ila Waislamu wana raha sana aisee 🙌Na huyu ajiangalie asije akapelekwa peponi kula mabikra akiambatana na hao mbwa mwitu wake
Kama hujuia kuwa msajili alipiga marufuku hiyo basi nenda kacheze mdako na watoto wenzako hapa tunajadili mambo ya kiutu uzima siyo ubishi wa kipumbavu.Chama kipi hakina kikundi cha ulinzi
Takataka maviKama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.
Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.
Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?
Hao ni Content creator wa makonda, wala msiogopeKama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.
Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.
Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?
Ni wajomba za SSH.Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.
Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.
Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?
As long as yuko upande wa fazafaka wa Kizimkazi, anaweza kunya anywhere, anytime!Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.
Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.
Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?
Hata wakiwa na bunduki ni wepesi tu.Jamaa mjinga kweli, watu wa kuogopa kwenye kushambulia naweza kusema ni wale MMA fighters, hao vijana anaosema wanaitwa mbwa mwitu hawana uwezo hata wa kupambana na mtu anayefanya masumbwi ya kulipwa kama kina Mwakinyo...
Commando aliyefuzu martial arts ni nadra kutoboa kwa mpiganaji wa kawaida MMA ambae maisha yake ni ngumi, akilala anawaza ngumi, akiwa anatembea anawaza ngumi..
Askari kinachowasaidia ni umoja... Asitishe watu.. Hao walevi ni wepesi sana wakiwa hawana bunduki.
Jibu swali,Kama hujuia kuwa msajili alipiga marufuku hiyo basi nenda kacheze mdako na watoto wenzako hapa tunajadili mambo ya kiutu uzima siyo ubishi wa kipumbavu.
Ubishi wa kipumbavu bishana na wapumbavu wenzako.Jibu swali,
Ni chama kipi hakina vikundi vya ulinzi? Achana na mambo ya kujipa umhimu wa kujiona mwenye utu!
Ccm wana greenguard
Chadema wana hamasa (zamani redbrigade)
Act wanao
Chaumma wanao na wao wanawaita hamasa
Kama hujui uwe unauliza kuliko kujipa umhimu wa kujiona mjanja..
Tunaishi nao na tunawaona..
Unajua kurugenzi la ulinzi na usalama linahusika na nn na kuna watu gani mle?
Usidhani kuwa wote hawajui au wote ni wapumbavu