Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

Muliro. Shughulika na hawa watu. Wapo kwenye mkoa wako. Wamesema mtu asionekane magomeni, kinondoni, sinza na kariakoo. Serekali kupitia jeshi la polisi tunataka kujua hawa wahuni ni kina nani? Na naani kawatuma.
Mbili. Hawa wahuni wanachafua dini ya uislam.
 
Hebu Ngoja Kwanza:

Huyu na wale "Wakatoliki wa Vatikani" wanatofautiana kwa lipi?

Haya maigizo yataifikisha wapi hii serikali haramu
Tuombe Mungu atuepushe na majanga
 
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.

Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.

Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.

Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?

Attachments

Muliro. Shughulika na hawa watu. Wapo kwenye mkoa wako. Wamesema mtu asionekane magomeni, kinondoni, sinza na kariakoo. Serekali kupitia jeshi la polisi tunataka kujua hawa wahuni ni kina nani? Na naani kawatuma.
Mbili. Hawa wahuni wanachafua dini ya uislam.
Tunakoelekea ni pabayq Sana kwa kuingoza Imani za kidini
 
Tuombe Mungu atuepushe na majanga
Sina shaka hata kidogo, kwamba tunaelekea kwenye ukombozi wa taifa hili.
Hizi zote ni dalili za mwishomwisho za uovu ulioingizwa miongoni mwetu.

Tanzania Mpya kabisa inakuja.
Hakuna mwenye uwezo wa kuzuia hilo.
 
Hilo hakuna binadamu yeyote anayelipinga ndugu yangu .
Tunacho omba ni twende kwa utulivu ili tusiingie kwenye njia walizopitia majirani zetu wanao teseka hadi sasa mizigo kichwani
 
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.

Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.

Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.

Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?

Hao ni watu wa xcm na serakali, tofauti na hapo tuone kama wataxhukuliwa hatua yoyote?!
 
Huyo jamaa out ya usemaji
Anajishugulisha na nini?

Ova
 
State emergency wameamua kuja wazi mbona kasahau kupataja Ubungo Maji.
 
Hivi mwenzake Sheikh Sharif majini yupo wapi? Hasikiki kabisa
Mtu anaita press conference, anatoa tamko la kuua watu watakaoandamana... Wakati huohuo, two days ago, msemaji wa Polisi alisema maandamano yana viashiria vya watu kukatwa vichwa... Tusishangae Mwaipopo kutoitwa kuhojiwa kwa kauli zile, sababu anatekeleza ulinzi wa mfumo!
 
Hao ni watu wa xcm na serakali, tofauti na hapo tuone kama wataxhukuliwa hatua yoyote?!
Jinai haina ukomo. Watakuwa wapumbavu kama wanafikiri ccm itatawala milele.

Tutunze kumbukumbu za haya mambo.
 
Naiona Civil war kwa mbaali inakuja. Huku mzenji akichekelea
 
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.

Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu kama huna moyo unaweza ukajifungia ndani ukijua nje tayari Kuna Vita.

Ebu msikilizeni huyu mtu maneno anayotamka na yanafika kwa jamii.

Je ni mtamzania kweli au anatumia teknelojia ya kisiasa maarufu kama AI?

Mjinga tu! Huwezi kushindana na nguvu ya Umma hata uwe na jeshi kubwa kiasi gani
 
Back
Top Bottom