Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

kwani wanao ratibu na kufadhili maandamano hayo haramu ya kigaidi, kuna taarifa yoyote wameitoa gentleman, kabla sijatia neno kwenye hiki ulichoposti?🐒
 
Amesema yeye n raia mwema.

Sasa najiuliza, raia mwema anawezaje kusambaza watu hvy Kila mahali ili wachukue taarifa za watakaoandamana?
Amepata wapi pesa za kuwalipa hao informer wake?

Ccm ni Wapumbavu wa kupitiliza aisee 🙌
 
Hapo sio Tanzania mkuu ni nchi ya Malawi hiyo, hayo mambo yanafanya huko. Tusimsingizie raia mwema huyo, siyo kweli.
 
Watawala wamezidiwa Sasa wanajifichia kwenye DINI hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…