Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

Huyo shehe mwaipopo msihangaike nae Wala tusi wa implicate waislamu wote kwenye huu ushamba waislamu wengi hawakubalini na huu ujinga wa ccm unaoendelea. Ila trust me huyo washamseti watu wa system na kajaa huyo ni next target anakula chuma muda c mrefu.
 
Huyo shehe mwaipopo msihangaike nae Wala tusi wa implicate waislamu wote kwenye huu ushamba waislamu wengi hawakubalini na huu ujinga wa ccm unaoendelea. Ila trust me huyo washamseti watu wa system na kajaa huyo ni next target anakula chuma muda c mrefu.
 
Aisee kama Taifa bila kujali itiladi zetu za siasa naona tunaelekea kibaya snaa.
Mbaya zaidi maadam kauli za hawa wahuni zinaegemea kwa watawala, hutasikia tamko lolote la kulaani kutoka kwa hao wanaojiita polisi .
 
Jamaa mjinga kweli, watu wa kuogopa kwenye kushambulia naweza kusema ni wale MMA fighters, hao vijana anaosema wanaitwa mbwa mwitu hawana uwezo hata wa kupambana na mtu anayefanya masumbwi ya kulipwa kama kina Mwakinyo...

Commando aliyefuzu martial arts ni nadra kutoboa kwa mpiganaji wa kawaida MMA ambae maisha yake ni ngumi, akilala anawaza ngumi, akiwa anatembea anawaza ngumi..

Askari kinachowasaidia ni umoja... Asitishe watu.. Hao walevi ni wepesi sana wakiwa hawana bunduki.
 
Mbwiga tu huyo, wakoloni na makaburu walikuwa na mikwala zaidi ya hiyo. Action speaks louder than words.
 
Kumbe miongoni walioua ndugu zetu 29 October ni hawa mbwa.Na anaongea hivi hadharani unapewa code kabisa kuwa hawa ndo awatekaji na washenzi wanaoteka na kufira watu na Mapolisi wapo wanamuangalia.

Ndugu zangu watanzani huyu shekhe sio muislam ,waislam safi hatuna akili za kiduwanzi kama za huyu shekhe.
 
Takataka mavi
 
Hao ni Content creator wa makonda, wala msiogope
 
Ni wajomba za SSH.
 
As long as yuko upande wa fazafaka wa Kizimkazi, anaweza kunya anywhere, anytime!
 
Hata wakiwa na bunduki ni wepesi tu.

Muhimu na wewe unayepambana nao uwe nayo.

Ukiwa nayo tu ni weupe kama kitambaa cha sanda.
 
Kama hujuia kuwa msajili alipiga marufuku hiyo basi nenda kacheze mdako na watoto wenzako hapa tunajadili mambo ya kiutu uzima siyo ubishi wa kipumbavu.
Jibu swali,
Ni chama kipi hakina vikundi vya ulinzi? Achana na mambo ya kujipa umhimu wa kujiona mwenye utu!

Ccm wana greenguard
Chadema wana hamasa (zamani redbrigade)
Act wanao
Chaumma wanao na wao wanawaita hamasa

Kama hujui uwe unauliza kuliko kujipa umhimu wa kujiona mjanja..

Tunaishi nao na tunawaona..

Unajua kurugenzi la ulinzi na usalama linahusika na nn na kuna watu gani mle?

Usidhani kuwa wote hawajui au wote ni wapumbavu
 
Ubishi wa kipumbavu bishana na wapumbavu wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…