Ndugu zangu Watanzania huku tunaenda wapi? Hawa watu ni Watanzania au ni AI?

Kashakwambia ni ndugu wa Albert Chalamila.. Je, Vikundi vya Kigaidi kama hivi vinafadhiriwa na Polisi?

Hii ndo dalili ya anguko la Serikali.. Kila gaini haogopi kujitokeza sababu mtoa maamuzi yupo nao
 
Hata wakiwa na bunduki ni wepesi tu.

Muhimu na wewe unayepambana nao uwe nayo.

Ukiwa nayo tu ni weupe kama kitambaa cha sanda.
Kabisa... Askari ukimuambia piga pushups 50 atajamba.. Huyo ustadh anazungumza utasema hao mbwa mwitu wakipigwa hawasikii maumivu, hao watapigwa wajambe kabla hawajakojoa...
 
Kabisa... Askari ukimuambia piga pushups 50 atajamba.. Huyo ustadh anazungumza utasema hao mbwa mwitu wakipigwa hawasikii maumivu, hao watapigwa wajambe kabla hawajakojoa...
Yaangalie hapa yamekusanyana kama mazombie kuipiga target moja tena ni stationary target lakini yameunyaunya vya kutosha.
Your browser is not able to display this video.
 
Makundi ya kigaidi kama Boko Haram ndio huanza hivyo hivyo kimzahamzaha tu kama hawa.
Na kwa bahati mbaya au kwa kutojuwa, naona unashiriki kuyarutubisha mkuu Yoda, maana wewe ni mmoja wa wana JF sita "mlioshukuru" (thanks) katika tamko hili lililotolewa na huyu mtu anayeonekana anafaidika sana na hali iliyopo; kwa kumtazama kimwonekano, kama mavazi, mashavu na kunawili kwake.

Sasa nawauliza nyote mnaoshukuru kwa tamko hili:
Seth Saint
Pascal Mayalla
Ozon
Marco Seth
Luhikya Grandson
Yoda

Huyu ndugu yenu kifikra ni nani huyu, mnafahamu jina lake?
Kajionyesha waziwazi kwa sura, kwa hiyo huyu ni mtu anayejulikana katika jamii; tuelezeni. huyu ngugu yake Chalamila ni nani hasa kwa jina na shughuli zake hasa ni zipi?
 
Ukiona punda juu ya mti ujue amepandishwa!
 
Maoni yangu.
Kundi hili huenda kwa sasa likaonekana zuri kwa kuwa linaonekana kuisaidia Serikali lakini baade huko mwelekeo wao ukabadilika na kuwa hatari kwa jamii na tukawa tunaelekea kuwa Nigeria.
Hiyo serikali inayohitaji makundi ya namna hii wewe unaionaje?
Yaani vyombo vyote walivyopewa na wananchi, kama polisi havitoshi hadi makundi kama haya unayodiriki wewe kuyaita "mazuri" yawe na ulazima wa kuwepo?
 
Ukiona Kobe juu ya mti ujue amepandishwa.

Huyo Jibwa Koko ana backup
 
Hata wakiwa na bunduki ni wepesi tu.

Muhimu na wewe unayepambana nao uwe nayo.

Ukiwa nayo tu ni weupe kama kitambaa cha sanda.
Una maana Kagame akituvamia hawana uwezo wa kutulinda?
 
Sasa raia anasemaje kwamba wameweka maINFOMA halafu ukigundulika wanakuchomoa ,anakuchomoa kwa sheria gani wakati yeye ni RAIA?
 
Ukiona punda juu ya mti ujue amepandishwa!
Nimekuona hapa, nikaijiwa na swali ambalo sikutegemea kumuuliza mtu mwingine yeyote: Sijui kwa nini kukuona wewe kumenifanya niwe na fikra juu ya swali lenyewe.

Katika uhai wako ndani ya taifa hili, hivi kweli kuna wakati uliingiwa na fikra kwamba Tanzania ingekuwa katika hali hii iliyomo leo?
Na pengine bado tutazidi kuporomoka zaidi ya hapa!
 
Never thought Taifa letu linge stoop so low.
Kikwete na Mtandao wake wametufikisha hapa.
Ubunfsi na uroho wa madaraka ndiyo kiini cha haya yote.

Taifa lisiloendana na matakwa ha wananchi wake, lazima litawale kibabe, na ubabe una mwisho.
Sijivunii kwa sasa kuwa mwanachama wa CCM.
 
Makundi ya kigaidi kama Boko Haram ndio huanza hivyo hivyo kimzahamzaha tu kama hawa.
Hapa hutawasikia akina Tlaah, Lucas ,Dr wa Manesi, wavaa magubabasi wakikemee upumbavu huu, kwanza walianza kusema watawakata watu vichwa na sasa wanajidai hadharani, haya maneno wangetamka wavaa majoho sijui saa saa hizi wangekuwa wapi. Hii ndio husema ukiona mtoto wa simba karibu jua hayuko peke yake, naniliu wake yupo pembeni.
 
Hebu Ngoja Kwanza:

Huyu na wale "Wakatoliki wa Vatikani" wanatofautiana kwa lipi?

Haya maigizo yataifikisha wapi hii serikali haramu
 
Wanachojali ni mkono uemde kinywani ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…