mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Kuna wengine hujawaaga hasa akina mdogoye Adiosamigo Ritz ushauli wangu wachukue na hawa wakakusaidia kukusanya hivyo vyuma chakavu!!Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo ilu hali kila kukicha ni kukamata wapinzani na kuwasweka lupango
Naenda zangu Palestine (Gaza) kuuza vyama chakavu,
Nawapeni mwaka mmoja tu halafu tukutane tena, naamini kwa uwezo wa Allah nitafanikiwa
Uwingi wa maorofa yaliyodondoshwa na mayahudi, hii ni furusa kwangu, bila shaka biashara italipa kwa haraka
Tuombeane dua wapendwa
Kwa heri rafiki yangu Webabu
Hii ndo huitwa
Upareni utapata vyuma chakavu au ndondoto Za mchana hizo.Hapo kwenye heading yako; Parestine ni wapi mkuu? Isije ikawa unakwenda Upareni kula makande halafu unatufunga kamba hapa [emoji23]
Ni makosa tu ya kiuchapaji mkuu, namaanisha huko huko ParestinaHapo kwenye heading yako; Parestine ni wapi mkuu? Isije ikawa unakwenda Upareni kula makande halafu unatufunga kamba hapa 😂
🤣🤣🤣Upareni utapata vyuma chakavu au ndondoto Za mchana hizo.
Asante mkuu kwa masahihishoHakuna nchi inayoitwa Parestina Ila kama unataka vyuma chakavu utavipata kwa wingi huko Gaza!!!
Ona haya mavituKuna wengine hujawaaga hasa akina mdogoye Adiosamigo Ritz ushauli wangu wachukue na hawa wakakusaidia kukusanya hivyo vyuma chakavu!!
Uvivu huu😔ndondoto
Acha bangi we kijana hamna nchi hiyo utachizi bure.Ni makosa tu ya kiuchapaji mkuu, namaanisha huko huko Parestina
Fasta sana uje JKN hapa, tayari nasuburi muda tu hapa, saa nane safari itaanzaMkuu naomba lift
Siwezi kichizika mkuu kwa kosa tu kama hilo, hapa sjakana wazazi wangu naanzaje kuchizika mkuuAcha bangi we kijana hamna nchi hiyo utachizi bure.
Hii ya sinza inamavyuma kama kule Gaza?Palestine ipi? Ya nje au hii ya Sinza. Lol
Fasta sana uje JKN hapa, tayari nasuburi muda tu hapa, saa nane safari itaanza
VipooHii ya sinza inamavyuma kama kule Gaza?
lipia visa mimi nitalipa ya ndege mkuuSo nakuja bila visa nk