Hivyo fanya wewe, kule ghorofa moja tu unajaza maloliVipoo
Safar. Njema mkuu ukifika utatupa abc tujipangelipia visa mimi nitalipa ya ndege mkuu
Asante kwa tarifa mhimu nitazingatia mkuuUsije ukang'oa milingoti na vibao vya kuonyesha njia, pia wakikukamata unang'oa vyuma vya kingo za barabara watakunyonga.
Mkuu, mi naamini hata huko kwa nchi jirani vipo viwanda vya kuyeyusha chumaUkabebe ulete bongo au utauza wapi?
Wee em sema kweliHivyo fanya wewe, kule ghorofa moja tu unajaza maloli
Ikiwa umeamua kuingia biashara hiyo nakushauri uende Ukraine.Gaza ni kifusi kingi tu.Kila kipande cha chuma wanaokota wenyewe kutengenezea vitu vya kuwarudishia mayahudi.Baada ya muda hata mwenyewe unapata matangazo.Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo ilihali kila kukicha ni kukamata wapinzani na kuwasweka lupango
Naenda zangu Palestine (Gaza) kuuza vyama chakavu,
Nawapeni mwaka mmoja tu halafu tukutane tena, naamini kwa uwezo wa Allah nitafanikiwa
Uwingi wa maorofa yaliyodondoshwa na mayahudi, hii ni furusa kwangu, bila shaka biashara italipa kwa haraka
Tuombeane dua wapendwa
Kwa heri rafiki yangu Webabu
Hii ndo huitwa kufa kufaana
Jifanye ww ni Gaidi uliyekubuu Unalijua Mossad ww?Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo ilihali kila kukicha ni kukamata wapinzani na kuwasweka lupango
Naenda zangu Palestine (Gaza) kuuza vyama chakavu,
Nawapeni mwaka mmoja tu halafu tukutane tena, naamini kwa uwezo wa Allah nitafanikiwa
Uwingi wa maorofa yaliyodondoshwa na mayahudi, hii ni furusa kwangu, bila shaka biashara italipa kwa haraka
Tuombeane dua wapendwa
Kwa heri rafiki yangu Webabu
Hii ndo huitwa kufa kufaana
Asante rafiki yangu, kwa kuwa tayari niko na tiketi na saa nane dude litaanza safari, acha nifike huko nitazingatia ushauri wako kama itakuwa hivyo mkuuIkiwa umeamua kuingia biashara hiyo nakushauri uende Ukraine.Gaza ni kifusi kingi tu.Kila kipande cha chuma wanaokota wenyewe kutengenezea vitu vya kuwarudishia mayahudi.Baada ya muda hata mwenyewe unapata matangazo.
Biashara ya vyuma chakavu na ugaidi wapi na wapi mkuu, Tanzania hatuna huluka hizi za kigaidiJifanye ww ni Gaidi uliyekubuu Unalijua Mossad ww?
Parestina haipo ila Palestine 🇵🇸 ipo na mji wake mkuu ni jerusalem.Hakuna nchi inayoitwa Parestina Ila kama unataka vyuma chakavu utavipata kwa wingi huko Gaza!!!
Angalia usije okota bomu ukadhani ni chuma chakavu
https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...-kwenye-chuma-chakavu-jwtz-waliharibu-2972128
https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...omu-akidhani-chuma-chakavu-atambuliwa-2875992
Pwani: Alipuliwa na Bomu kwenye vyuma chakavu | East Africa Television
View: https://www.facebook.com/UMGOnline/videos/watatu-wafariki-dunia-kwa-kulipukiwa-na-bomu-pwani-januari-11-2022habari-watu-wa/280602947498060/
Huko Palestina usisahau kuniletea mafufu 6 ya binadamu nina kazi nayo__Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo ilihali kila kukicha ni kukamata wapinzani na kuwasweka lupango
Naenda zangu Palestine (Gaza) kuuza vyama chakavu,
Nawapeni mwaka mmoja tu halafu tukutane tena, naamini kwa uwezo wa Allah nitafanikiwa
Uwingi wa maorofa yaliyodondoshwa na mayahudi, hii ni furusa kwangu, bila shaka biashara italipa kwa haraka
Tuombeane dua wapendwa
Kwa heri rafiki yangu Webabu
Hii ndo huitwa kufa kufaana
Rais wao nani na ilipata uhuru lini, Pesa yao inaitwa je? Ndipo utajua hakuna nchi inayoitwa Palestina!! Nimekuuliza hivyo kwa sababu mimi sasa hivi nipo hapa Jerusalemu na natarajia kutoka hapa jioni kurudi kambini kwangu hivyo nijibu haraka ili niwaulinze na wenyeji wa mji huu kama wanajua kuwa huo ni mji Mkuu wa PalestinaParestina haipo ila Palestine 🇵🇸 ipo na mji wake mkuu ni jerusalem.