Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

Rais wao nani na ilipata uhuru lini, Pesa yao inaitwa je? Ndipo utajua hakuna nchi inayoitwa Palestina!!
Lira ( Palestina paund ) ilitokea wapi?

Yasser Arafat alikua raisi wa nchi gani?

Uhuru mpaka sasa unapiganiwa kwa nguvu zote
 
Nilikuwa sijui kumbe Palestina inatawaliwa na Marehemu maana Yasser Arafat Alisha kufa siku nyingi sana. Hapa Jerusalem pesa yao inaitwa SHEKELS hiyo unayoiita Lira hiyo pesa ni ya waturuki kama ulikuwa hujui na huenda unaitumia wewe nyumbani kwako tu
 
Ndio maana unaambiwa Palestine ilivamiwa na diaspora waliojiita Jews waliwakuta wenyeji wapo hapo maelfu ya miaka , tena mwanzoni wote waliishi kwa amani tu ndipo chokochoko za magharibi zikaanza, wapo Jews wanaona wapalestina ni ndugu zao na wapo wapalestina wanaona hivyo , ndio maana unaambiwa hizo chokochoko zinachochewa .

Kitu usicho kijua labda, hata kabla ya kuundwa taifa la Israel 1948 walikuwepo Wayahudi ambao walikua ni wapalestina kwa asili kabisa.
 
Unaelewa maana ya Diaspora? Au unaongea tu maneno ya kukaririshwa ni Wafuga midevu na majini?
Hakuna miaka waliyokaa waarabu na wayahudi kwa amani !!! Kabla ya 1948 wayahudi walikuwepo hapo toka miaka 3,000 iliyopita enzi za Wafalme Saul,Daud,Solomon na wengine wengi tu wayahudi walikuwepo hapo maana hapo ndipo asili yao lakini unaowaita wewe wapalestina hawakuwepo. Nasubiri uniambie maana ya “DIASPORA”
 
Unaongea nini wewe , umesoma historia vizuri au unaropoka tu bora hata kitali Anauelewa kiasi kuliko wewe , jibu wa hoja acha kukurupuka mkuu
 
Hapo hakuna hoja umejikoroga ulipoweka Neno DIASPORA kuna uwezekano hujui maana yake hebu niambie nini maana ya Neno DIASPORA harafu tuendelee kuelimishana!!
 
Ukisikia Ashkenaz jews unaelewa nini?
 
Acha kuruka ruka na maneno ya kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini. Niambie nini maana ya Diaspora? Kaulize hata kwa jirani!!!
😅😅 mda tu nili ku note wewe ni kiazi na unachokiongelea wala haukijui vizuri
 
Ukienda huko watakuchinja kama kuku maana utawakasilisha Kwa kuwa wako vitani halafu wewe unachukua vyuma vyao vya magari vikivyolipuliwa na mabomu
 
Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu

Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu

Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu,

Nawapeni mwaka mmoja tu halafu tukutane tena, naamini kwa uwezo wa Allah nitafanikiwa

Uwingi wa maorofa yaliyodondoshwa na mayahudi, hii ni furusa kwangu, bila shaka biashara italipa kwa haraka

Tuombeane dua wapendwa

Kwa heri rafiki yangu Webabu

Hii ndo huitwa kufa kufaana
Na bado mtaichagua binafsi sijawah piga toka nimetimiza miaka 18
 
Kazi ni nzuri huku ndugu zangu ingawa inachangamoto ya kusikia vishindo vya mabomu na lisasi
 
Hata hivyo, kuipata pesa ya halali ni kujifunga kweli kweli

Namwamini Mungu atanilinda maana siibi
 
Back
Top Bottom