Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

Ikiwa umeamua kuingia biashara hiyo nakushauri uende Ukraine.Gaza ni kifusi kingi tu.Kila kipande cha chuma wanaokota wenyewe kutengenezea vitu vya kuwarudishia mayahudi.Baada ya muda hata mwenyewe unapata matangazo.
 
Jifanye ww ni Gaidi uliyekubuu Unalijua Mossad ww?
 
Asante rafiki yangu, kwa kuwa tayari niko na tiketi na saa nane dude litaanza safari, acha nifike huko nitazingatia ushauri wako kama itakuwa hivyo mkuu
 
Jifanye ww ni Gaidi uliyekubuu Unalijua Mossad ww?
Biashara ya vyuma chakavu na ugaidi wapi na wapi mkuu, Tanzania hatuna huluka hizi za kigaidi

Watanzania ni watu spesho mkuu, Mungu mwenyewe anajua
 
Hakuna nchi inayoitwa Parestina Ila kama unataka vyuma chakavu utavipata kwa wingi huko Gaza!!!
Parestina haipo ila Palestine 🇵🇸 ipo na mji wake mkuu ni jerusalem.
 
Huko Palestina usisahau kuniletea mafufu 6 ya binadamu nina kazi nayo__
 
Parestina haipo ila Palestine 🇵🇸 ipo na mji wake mkuu ni jerusalem.
Rais wao nani na ilipata uhuru lini, Pesa yao inaitwa je? Ndipo utajua hakuna nchi inayoitwa Palestina!! Nimekuuliza hivyo kwa sababu mimi sasa hivi nipo hapa Jerusalemu na natarajia kutoka hapa jioni kurudi kambini kwangu hivyo nijibu haraka ili niwaulinze na wenyeji wa mji huu kama wanajua kuwa huo ni mji Mkuu wa Palestina
 
Attachments

  • v09044g40000d048on7og65re2o7925g.mp4
    11 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…