Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,

Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,

Let me try to call Imma......
Came here kid, we are here to help you boy...
Don keep silent young... Look at you bady..[emoji5]. We still need you Imma.....come back and tells us something brother, Come back and talk to us kid....
Agghhhh.....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
You good Imma....
Here we go....
Take long and deep breath, touch your heart and talk to us, and you gonna be okay and keep yourself out of stress
Tell us something please[emoji101]
Eeighhhh some word to heal him pls, agrr [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji120] [emoji120] we stl need you imma. Camon little boy things gonna be ok alright. Here we are waiting, we both know something went wrong right there son try to be a strong man[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji12]
 
We Imma mbona sikuhizi hatuonani mianzini na kqloleni au umehama Arusha?
Alafu vipi kitu gani kimekusibu chalii?
 
Kamanda kulikoni ama kunanini bavicha hamwelewani tena kanda ya kwetu kaskazini nini mkuu ama tatizo liko wapi?
Udom hiyo. We endelea na uharo wa ndoto za sijui bavicha.
 
Udom hiyo. We endelea na uharo wa ndoto za sijui bavicha.
Haa haa babu ukilaza umekutawala mpaka wewe kumbe teh teh shikamoo akili zako zimesombwa na mwendokasi nini babu[emoji23] [emoji23] .
 
Haa haa babu ukilaza umekutawala mpaka wewe kumbe teh teh shikamoo akili zako zimekuwa za mwendokasi nini babu[emoji23] [emoji23] .
Watu wana matatizo ýa kisaikolojia badala ya kumpa msaada mnamkebehi kwenye mambo ya kisiasa. Acheni hizo bhana.....

Uchaguzi ulishaisha lazima maisha yasonge mbele....
 
Watu wana matatizo ýa kisaikolojia badala ya kumpa msaada mnamkebehi kwenye mambo ya kisiasa. Acheni hizo bhana.....

Uchaguzi ulishaisha lazima maisha yasonge mbele....
Ni mwenyekiti wa bavicha Siha mkuu wala hana mtambuka na Udom
 
Kwani wewe ni nani mkuu?I mean una cheo gani katika jamii inayokuzunguka hadi uamue kuutangazia umma maamuzi yako binafsi?
 
Sema mkuu hajasema shida ni nini tungemshauri labda angepata chochote cha kuushibisha ubongo wake kwa namna moja ama nyingine, maana hapa kuna watu wenye wigo mpana naomani.
Wala hana sababu ya kusema. Werevu tushajua ana mpango wa kuhama chama. Kwake yeye anaona ni maamuzi magumu kumbe ni jambo la kawaida sana.....
 
Kwani wewe ni nani mkuu?I mean una cheo gani katika jamii inayokuzunguka hadi uamue kuutangazia umma maamuzi yako binafsi?
Hivi nshakwambia mekumisi dadaake???

Basi ndo hivo sasa
 
Kwani wewe ni nani mkuu?I mean una cheo gani katika jamii inayokuzunguka hadi uamue kuutangazia umma maamuzi yako binafsi?
Nifah huyu ndiye mwenyekiti wa bavicha siha na alikuwa team ushindi kwenye kampeni zilizo muweka madarakani dk molle
 
Back
Top Bottom