Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,

Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,

Ukijiuwa tunakuzika tu, usichanganye watu akili wakati sukari yenyewe inatusumbuaa
 
Wewe Imma si una unasaba Na Ufosaro Yule mtangazaji wa ITV.?

Mungu akuongoze kwenye maamuzi yako magumu.
 
Mkuu Mimi nakujua Sana. Ni mwenyekiti wa vijana wilaya ya Siha. Ulipigana kisete kuhakikisha Mh Dr G. Mollel analichukua jimbo mikononi mwa Ndg Aggrey Mwanry.

Najua ndoto zako ni kuwa kiongozi mkubwa,je umeshindwa kutimiza ndoto zako ukiwa CHADEMA Hivyo Una nia ya kubadili chama na kuhamia CCM? Najaribu kuunganisha akili ikanifikisha huko. Hebu tuambie maana yako.
Naam nami pia nampata sana
 
Kwa jinsi yoyote ile,nadhani unabadili chama na kuhamia CCM. Nenda tu mkuu ila jua kuwa unatumiwa kwa muda tu. Utakuja kujuta. Maamuzi yako yafanye kwa kushirikisha akili na maombi. Hao watu cyo wazuri hata kidog. Kila la kheri kwenye ujenzi wa chama kipya.
 
Ndugu zangu Wiki ya Kesho Muda wote nitafanya maamuzi magumu sana,
Najuwa wako watakosema mabaya na wengine kupongeza ila nimejipanga kuyaishi yale nayo yasema,Ikidhirika kwamba huwezi kuyafikia malengo yako,Usibadili malengo hayo rekebisha mbinu unazotumia kuyafikia'
By ImmaSaro

13335799_1088374774579849_2247894246263530141_n.jpg
Imma...[emoji47]
You are too young to do those kinds of kidding [emoji34]
 
We better do something to stop this young generation's from negatives though..[emoji25]
Yeah that can make sense, bt he tend to be silence for a while, how ever we need him here to inform us something indeed& briefly.
 
Mkuu Mimi nakujua Sana. Ni mwenyekiti wa vijana wilaya ya Siha. Ulipigana kisete kuhakikisha Mh Dr G. Mollel analichukua jimbo mikononi mwa Ndg Aggrey Mwanry.

Najua ndoto zako ni kuwa kiongozi mkubwa,je umeshindwa kutimiza ndoto zako ukiwa CHADEMA Hivyo Una nia ya kubadili chama na kuhamia CCM? Najaribu kuunganisha akili ikanifikisha huko. Hebu tuambie maana yako.
Ndo amegundua leo kuwa chama kimeuzwa
 
Yeah that can make sense, bt he tend to be silence for a while, how ever we need him here to inform us something indeed& briefly.
Let me try to call Imma......
Came here kid, we are here to help you boy...
Don keep silent young... Look at you bady..[emoji5]. We still need you Imma.....come back and tells us something brother, Come back and talk to us kid....
Agghhhh.....[emoji51] [emoji51] [emoji51]
You good Imma....
Here we go....
Take long and deep breath, touch your heart and talk to us, and you gonna be okay and keep yourself out of stress
Tell us something please[emoji101]
 
Sema ulitaka uuze sura!! Huwez weka mada isiyoeleza tatzo AF unataka tuchangie au tushauriii!!!
Usiwaze tumeshakuona sura yako ya majiii simtank
 
Back
Top Bottom